Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

kama maishaya nnadamu ni miaka sabini na kwakuwa wanaume wengi huoa wanawake waliowazidi umri , yaani mwanamume miaka 30 anaoa mwanamke miaka 20 automatically mwanaume afikapo miaka 70 atakufa nakumuacha mkewe akiwa na miaka 60.ceteris paribus .
 
Me nahisi hata na majukumu mengi pia yanaweza yakasababisha. Ukute sasa ndo kwenye familia umezaliwa mwanaume peke ako na madada zako, aisee ni shida. Ukikaa kidogo simu ya dada A, mara mama mzazi anaumwa huku watoto sijui wanataka Ada. Mtu mmoja anabeba majukumu ya watu kibao. Mmh yani presha haitochezi mbali na wewe.
 
Kwa hiyo usipokufa kwa sababu namba 2 hadi 6 basi utakufa kwa sababu namba 1????????????
 
Huu utafiti ntarudia kwenda kuufanyia MACHAME (kwa Wapalestina) ili nijiridhishe na ile idadi ya wajane
 
Mkuu hiyo sasa special case....lakini nasikia siku hizi hawana shida
 
Me nahisi hata na majukumu mengi pia yanaweza yakasababisha. Ukute sasa ndo kwenye familia umezaliwa mwanaume peke ako na madada zako, aisee ni shida. Ukikaa kidogo simu ya dada A, mara mama mzazi anaumwa huku watoto sijui wanataka Ada. Mtu mmoja anabeba majukumu ya watu kibao. Mmh yani presha haitochezi mbali na wewe.

trust me hayo majukumu mengine yote hayafikii mzigo wa mke kama atoto au miss chagga .....simu ya dada,mjomba unaweza kupotezea ila ya ndani ya nyumba lazima utimize!
 
Back
Top Bottom