Kuna mda wanawake mnatunyanyasa pale tunapokuwa tunaitafuta pesa huku nyuma mnachepuka na wale wasiotafuta pesa kisa huyo mchepuko uko free. Yaani mnatupa shida kwakweli hatujui tushike lipi mke au pesa mtuhurumie jamani, halafu atoto naomba nikuone pm
RRONDO ndio alikutaliki bwana.
Yule mpalu nimemwambia anipe kwanza visenti vya bando katoka baruu, hahahaaa, wanaume wa humu wabahiri khaaaah!!
Pia wanawake walioolewa wana ulinzi wa namna fulani kimaisha. Mme ndiye anahangaika zaidi nje ya familia kuhakikisha familia inaishi vizuri wakati mahangaiko ya mwanamke mara yingi yapo (within)ndani ya familia kama kuangalia watoto, usafi wa nyumba nk. Ndiyo maana wanawake ambao hawajawahi kuolewa nao huufa haraka sababu ya misukosuko nje ya familia.Bad life style LA wanaume wengi unywaji pombe, uvutaji sigara kuendekeza michepuko nayo hula nguvu nyingi za wanaume wao wakidhani sifa kubadili wanawake ili waonekane vidume vya mbegu kumbe wanajichosha wenyewe,kwa kuendekeza ngono. Uchaji Mungu wanawake wengi ni God fearing watasali hyo inawapa confidence na matumaini ya maisha. Tofauti na wanaume wengi hujiamini na kutokusali so stress ndo zinawamaliza.
Mnazinguka ubuyu tu. wanawake wengi sasa ni mashetani.
nadhani unitumie pesa kwanza ndiyo nijibu salamu zakoha ha...sikutoka nduki bana .....nitaanzaje kutoka nduki......wakati iko wazi kwamba ukitaka kula sharti uliwe...nilikuwa nimebanwa kwenye zoezi la kurudisha fomu........ usije mfanya miss chagga akaogopa kujibu pm zangu
nadhani unitumie pesa kwanza ndiyo nijibu salamu zako
Ndioo... hujaona hapo juu amekwambia wew ndio umefanya nimkimbie na wakati yey ndiye aliyeniacha?
ha ha...sikutoka nduki bana .....nitaanzaje kutoka nduki......wakati iko wazi kwamba ukitaka kula sharti uliwe...nilikuwa nimebanwa kwenye zoezi la kurudisha fomu........ usije mfanya miss chagga akaogopa kujibu pm zangu
Pia wanawake walioolewa wana ulinzi wa namna fulani kimaisha. Mme ndiye anahangaika zaidi nje ya familia kuhakikisha familia inaishi vizuri wakati mahangaiko ya mwanamke mara yingi yapo (within)ndani ya familia kama kuangalia watoto, usafi wa nyumba nk. Ndiyo maana wanawake ambao hawajawahi kuolewa nao huufa haraka sababu ya misukosuko nje ya familia.
nadhani unitumie pesa kwanza ndiyo nijibu salamu zako
ha hahaha naona leo unataka kupondea kaka zangu .. pesa akupeHii haiapply kwa sale ndugu zake miss chagga hasa warombo aisee, wanaume wa kule ni wavivu kazi pombe tu, wanawake ndio vichwa vya familia.
MPALU MPALU,
I forget to mention how you made my day by your clip.
Big up Mkuu Mpalu.
Mnazinguka ubuyu tu. wanawake wengi sasa ni mashetani.
uhakika wa kushinda ni asilimia 100 kabla ya misa ya kwanza haijaishaDaaaaah!!! Fomu ya nafasi gani? Vipi kuna kadalili ka kushinda? Naweza nikakufikiria.
Aisee ..nyie mapacha nini...pesa mbele....bila kufungua wallet kipochi manyoya utasikisikia kwenye bomba tu....Ewalaaa!!! Hayo ndio maneno
ha hahaha naona leo unataka kupondea kaka zangu .. pesa akupe