Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

Pia Kazi Ngumu Za Shuruba Nyingi Za Kiume, Ugonvi, Mapanga, Visu, Uchawi, Ajali Wahanga Wengi Ni Wanaume Kutokana Na Majukumu Yao Ya Kutunza Familia Wakati Huo Mwanamke Anamtegemea Mwanaume Kwa Kuasi Kikubwa
 
Pia Kazi Ngumu Za Shuruba Nyingi Za Kiume, Ugonvi, Mapanga, Visu, Uchawi,ujambazi, Ajali Wahanga Wengi Ni Wanaume Kutokana Na Majukumu Yao Ya Kutunza Familia Wakati Huo Mwanamke Anamtegemea Mwanaume Kwa Kiasi Kikubwa
 
Yule kalimanzila ni mdau alipendekeza tuu ila wangu mie ni sumbai na wew unajuaa dear

Asanteee...my..

Ila yule mshana jr na peterchoka watapunguza lifespan yangu...mmmh
 
Last edited by a moderator:
Ila kumbuka maudhi,hasira,chuki,gubu ni moja ya sababu zinazo waondoa duniani haraka

Mi hapa nitalia machozi baada ya hapo nitajisikia mwepesiiii

Vipi bado una hasira? sitaki uondoke mapema

Nimekusamehe, haya twende PM tukamalizane kabla sijakasirika tena.
 
miss chagga usipokuwepo nakuwaga mnyonge sana humu JF nimefurahi sana nimecheka sana mwanaume kama hana pesa hana faida
 
Last edited by a moderator:
Wanaume ndio "think tank" ya Dunia wanatumia nishati kubwa sana na akili pia kuweka mambo sawa kotekote eg ktk Taasisi ya familia na Taasisi za kijamii,ingekuwa gari tungesema wanaume ni Scania na wanawake ni Suzuki Carry,,,, Of all these umri wa mwanadamu MUNGU pekee Ndie anajua hizi zote za akina Mauki na wenzao ni Hypotheses tu.!

Na: N'yadikwa
 
Mume miaka 30 Mke miaka 24 watakufa pamoja kweli?

duh hii ngumu kumeza.....ila ina ukweli na tunavyopenda wenye umri mdogo kuliko sisi inabidi tutangulie tu maana hamna namna!!
 
Hatari ni kutokuwa na pesa aisee, tena zaidi ya hatari yenyewe.

Kuna mda wanawake mnatunyanyasa pale tunapokuwa tunaitafuta pesa huku nyuma mnachepuka na wale wasiotafuta pesa kisa huyo mchepuko uko free. Yaani mnatupa shida kwakweli hatujui tushike lipi mke au pesa mtuhurumie jamani, halafu atoto naomba nikuone pm
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom