Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

Hizo sababu zako tano weka pembeni, stress tunazopewa na wanawake zinatosha kutuua mapema!
 
dawa ya moto ni moto...!!!
 
We ulifikr Uwanaumee ni simple mi hata Jogoo huwa anashindwa hata kuwika kama ninawaza pesa,maana sipendi Aibu mimi au kushindwa au kudhauliwa,,lakini wife utakuta kavua nguo zoote ,na anakugusagusa yeye kawa bonge Nouma hata mimi nakili nitawahi kufa ,ila nitakuwa nimeziba gepu kidogo
 
Reactions: MC7
Aisee umesema kweli kwa kiasi kikubwa nakubaliana na mada yako.

Wanaume tutajitahidi kuishi healthy lifestyle tufurahie maisha ya uzee... [emoji1]
 
Ngoja nianze kubadilika sasa kabla hali haijawa mbaya.
 
Halafu wanasingizia lile kabila pendwa kuwa wanawake ndo wanawarestisha, kama sababu ndo hizo na warest tuu in peace tutawakuta huko maana hamna namna
Lile kabila ni hatariiii mkuu, wenyewe wanaogopana
 
Mkuu usikiri, maana imeandikwa miaka ya kuishi ni zaidi ya 70. Sasa kukiri mwenyewe ni sawa umejitakia, by the way wife akikugusa gusa na mguu kichwa wazi hashtuki?? [emoji2] [emoji2]
 
ni kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…