Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

Nafikiri hapo sababu kubwa ni kwamba kwenye ndoa nyingi mume anakua na umri mkubwa kuliko mke. So its obvious kwamba mume ndio atatangulia kufa kama mambo yote yatakua kawaida. Ni sawa hakuna mtoto anaewaza atakufa kabla ya mzazi wake.
Labda iwe vinginevyo
 
Kwani trend ikoje? Coz naona wajane ndoo wengi,,, soo inawajengea imani kuwa soon watamiliki,,, na ukizingatia masuala ya urithi yalivyopasua kichwa,, ni muhimu mke akajua kila kitu...na mwanaume aandike wosia,,,
 
Make sense, doesn't it?...Takwimu zinaonyesha wanaume wanakufa kwa wastani wa umri mdogo kuliko wanawake, na wanaume wanaoa wanawake waliowazidi umri mara nyingi, so wana kila sababu ya kuamini hivyo
 
Uko sahihi, maana siku hizi kundi la wajane linakua kwa kasi sana.....
 
Duu!! Binafsi namini kuna vitu tunawawazia vibaya cjui lakini!! Yani mke Wangu Padri alituambia tuu mwili mmoja Leo awaze Mali Nikifa? Binafsi siamini kama Ipo ila siyo kwa Mkewangu. "Penye mafanikio ya mume jua mke yupo nyuma mna anasapoti" Ndiyo mna kuna marais wanagombea urais ila lazima wahakikishe mke yupo, Sijui ni mtazamo Wangu
 
Make sense, doesn't it?...Takwimu zinaonyesha wanaume wanakufa kwa wastani wa umri mdogo kuliko wanawake, na wanaume wanaoa wanawake waliowazidi umri mara nyingi, so wana kila sababu ya kuamini hivyo
Pia wanaume tunakufa mapema sababu ya msongo wa mawazo mwanamke muhimu sana
 
Mkuu ikiwa mke wako ameshakufikiria hayo bora umuache mapema, maana sioni sababu ya kuja na mtazamo finyu, hayo ni matukio ya kwenu, kwetu hayapo.
 
Kwa stress wanazotupa lazima tufe kabla yao
 
Kwani trend ikoje? Coz naona wajane ndoo wengi,,, soo inawajengea imani kuwa soon watamiliki,,, na ukizingatia masuala ya urithi yalivyopasua kichwa,, ni muhimu mke akajua kila kitu...na mwanaume aandike wosia,,,
Kuna bwana mmoja wa humu ndani alisimulia ushauri aliopewa na bibi yake kuwa aoe binti anaelingana nae au binti wenye umri mkubwa kidogo kumzidi, sababu kinamama wanateseka saana ujane, tabia ya kuoa mtu unamzidi miaka 10 ni inachangia saana. Wanaweza kuishi mpaka 20 years tangu wafiwe na waume zao.
 
Mkuu labda kwa wale wanaowaza kuwa na mke wa pili ,, lakini kama ni mmoja tena wa kufa na kuzikana,,, kumzidi umri muhimu,,,
 
Ni kweli wanawake wengi hudai kushirikishwa kila kitu na hii msingi wake ni hofu ya kupoteza endapo mume atafariki.
 
Ck mke wangu akiniambia hvy ndio sababu ya kutoa talaka nishaipata daadeki zake
 
Ni kweli uyasemayo hawa viumbe wabaya sana [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Mkuu labda kwa wale wanaowaza kuwa na mke wa pili ,, lakini kama ni mmoja tena wa kufa na kuzikana,,, kumzidi umri muhimu,,,
Hehehee! Yaani ukiangalia uhalisia, utaona sio kufa na kuzikana, bali ni ufe akuzike. Maana kama unamzidi umri, kwa hali ya kawaida mdogo anatakiwa kumzika mkubwa. Ingawa kwa kweli jamii bado inashauri mume awe mkubwa kuliko mke. Ila from my experience, nafikiri huo ukubwa jamii inaousema, sio lazima uwe ukubwa wa umri.
 
Ni ukubwa wa akili tu mkuu, kuoa binti mdogo ni kujipa jukumu la uwalimu bila sababu.

Owa age mate wako ni pafecto.
 
Wanawake wanapenda kumiliki mali zetu
Kwani kitabu cha dini yako kinasemaje? Umesoma angalau hata sheria za nchi zinasemaje kuhusu jukumu la mume kumtunza mke? by the way unataka mali zako arithi nani kama si mke na watoto?
Hii ni tabia ya roho mbaya na choyo.

Binafsi napata benefit zote kutoka kwa mke wangu through her rights, health insurance and likes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…