Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

Hii kitu inanichanganya sana akili yangu.
Sijui kama wewe pia ulishafanya uchunguzi huu.
Kwamba katika ndoa wanaume hufa mapema kabla ya wanawake.
Ebu angalia list hii kisha nawe jenga hoja why wanaume kwanza wakati ndio kichwa cha familia?
1.Babangu mzazi alishatangulia mwaka 2010!!
2.Baba wa taifa kamuacha mama Maria.
3.Mzee karume!
4.Ditopile!
5.Kawawa!
6.Daudi Balal!
7.Dk Omary A Juma!
8.Sajuki!
9.Mafisango!
10.Vivian Foe!

6!!!:->
 
fanya utafiti wanaume wengi age yao inakuwa imeenda zaidi ya mke ongeza majukumu ya family lazima atawai kufa
 
CHAI CHUNGU nilikutafuta sana juzi, asavali nimekuona.....
ila huu utafiti mimi hata sina majibu yake, labda ukija na mwingine nitajaribu
 
Last edited by a moderator:
Daah,ukweli m2pu maana hapa kitaani kwetu kumetawaliwa na wajane tuu akiwepo mama yangu mzazi!!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
CHAI CHUNGU nilikutafuta sana juzi, asavali nimekuona.....
ila huu utafiti mimi hata sina majibu yake, labda ukija na mwingine nitajaribu
Ha ha ha ha ha!nipo mkuu.
Juu ya hili fanya kautafiti kadogo hapo mtaani kwako mkuu.
 
Back
Top Bottom