CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 950
Anawakwepa mafataki wa kike lol!Habari za kusalimiana sitaki.
Mbona ananiwekea kauzibe?
Ye vp bhana.
Eboo!
Anawakwepa mafataki wa kike lol!Habari za kusalimiana sitaki.
Mbona ananiwekea kauzibe?
Ye vp bhana.
Eboo!
Anawakwepa mafataki wa kike lol!
Wakati akina nyie mnatulilia.
Mkuu ebu fanya uchunguzi mtaani kwako kisha uje tena.CHAI CHUNGU mm nilidhani ni story zinakuja
Suala la Wanaume kutangulia ni bado mfumo Dume toka enzi za dahari kwani hata kina Mose alipofiwa na Sara aliongeza mwingine
Kinamama wanatangulia sana na hawatangazwi bali Mume huweka mbadala hata Baba yako angeweka wa pili mngemuita wa kambo
Samora Michel wa Msumbiji hakuanza na Graca Michel / Mandela kwani alikuwepo wa mwanzo aliyekufa na kuzikwa Dsm TZ
Ni kweli kimwana.................na sijui kwa nini M/mungu aliamua kufanya hivyo lol!
mpunguze kututega
Hii kitu inanichanganya sana akili yangu.
Sijui kama wewe pia ulishafanya uchunguzi huu.
Kwamba katika ndoa wanaume hufa mapema kabla ya wanawake.
Ebu angalia list hii kisha nawe jenga hoja why wanaume kwanza wakati ndio kichwa cha familia?
1.Babangu mzazi alishatangulia mwaka 2010!!
2.Baba wa taifa kamuacha mama Maria.
3.Mzee karume!
4.Ditopile!
5.Kawawa!
6.Daudi Balal!
7.Dk Omary A Juma!
8.Sajuki!
9.Mafisango!
10.Vivian Foe!
Wazo lako plz!!Wanawake kwa namna moja ama nyingine wanachangia kufupisha maisha yetu! Stress; nagging zisizoisha, etc. Ukiyajumlisha yoote haya=kufa na kuwaacha wanadunda tuu!
Tamaa zipi kimwana,funguka bhana!na nyie mpunguze tamaa!la sivyo mtatuacha kila siku tukila maisha!
Tamaa zipi kimwana,funguka bhana!
Mwenzio hapo juu anasema eti sababu tunatamaa nyingi za kufunua 'sketi'Ni kweli kabisa urafiti wako
Kwa mie ninao wafahamu ni dhaidi ya kumi wameacha wajane ...sijui ni nini?
Kama inachangia basi ni kwa 0.15.Tamaa za kimwili chai chungu,mpunguze kusisimkwa mkiona vimini na miguu ya bieree!
Unan'salimia unataka kuninyima nini?
Me kijana mwenzio,tusinyimane.
Habari za kusalimiana sitaki.
Mbona ananiwekea kauzibe?
Ye vp bhana.
Eboo!
Kama inachangia basi ni kwa 0.15.
Maana mie nadhani hizo sketi na vimini ndivyo vinavyotupunguzia stress!
Nipo mkuu... Ila sijui ni nini kiliendelea baada ya mashindano???
Kama inachangia basi ni kwa 0.15.
Maana mie nadhani hizo sketi na vimini ndivyo vinavyotupunguzia stress!