Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

Wanaume wengi wanakuwa wakubwa kuliko wake zao so naturally watatangulia kufa mf mandela na winnie na graca,
wanaume wanatoa stress mara chache kuliko wake zao,wake wanalia nk,mwanaume kavu
wanaume ndo wataftaji wakuu wanachoka haraka,
 
biological mwanamke anaafya na kinga nyingi kuliko mwanaume.
social..mwanamke ana mtandao mkubwasana kwenye jamii kuliko mwanaume mfano vikundi vya kinamama.vicoba.chama cha kufa na kuzikana. hali inayompelekea kuwahuru kuongea matatizo mbalimbali na kupata suluhisho kuliko mwaume wanao kaanalo moyoni .mpaka wanapata magonjwa ya moyo.pia kwenye sex affairs wanaume wanapoteza nguvu nyingi na protein wakati mwanamke anapokea vitu hivyo....
 
Ah hebu nisiharibu siku yangu mie....
Sijui ntahuzunikaje bora tu nife mie mwanzo.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Wanaume wengi wanakuwa wakubwa kuliko wake zao so naturally watatangulia kufa mf mandela na winnie na graca,
wanaume wanatoa stress mara chache kuliko wake zao,wake wanalia nk,mwanaume kavu
wanaume ndo wataftaji wakuu wanachoka haraka,

Shosti kufa hakutegemei umri...
Kichanga kinazaliwa baada ya dakika 2 kinakufa na kumuacha mzee wa miaka 90..
Sote tutakufa kwa siku ambazo muumbaji wetu ametupangia kuchukua roho zake.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Chukua time yako na ujiulize kwanini wanaume walio kwenye ndoa ndio huanza kufa na kuacha wajane?
Nimefuatilia kwa ukaribu nikagundua asilimia 75 mpaka 90 ya wanaume walio kwenye ndoa wameziacha familia zao
Tizama Nyerere kaacha Mjane,Mandela, Sokoine, Gadafi, Babu yangu alitangulia
Pia hata wewe yawezekana ilisha tokea kwako

Source ni wewe mwenyewe,
Weka picha tuamini.
 
Hiyo takwimu inaweza kua sahihi bt si rasmi...hata yale mambo yetu kule MMU inaweza kua ni sababu wanaume kutangulia...
 
Shosti kufa hakutegemei umri...
Kichanga kinazaliwa baada ya dakika 2 kinakufa na kumuacha mzee wa miaka 90..
Sote tutakufa kwa siku ambazo muumbaji wetu ametupangia kuchukua roho zake.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

ni kweli my dear,i just considered couples chache ambao wanaish vzur wote tl uzee hv
 
unataka kumaanisha wanandoa wasipendane?
Halafu unakuta ndo wale wanaopendana saaanaaa na wake zao..ila wale ambao kukicha hawaongei
.hawaongozani...hawalali pamoja.kila siku ugomvi. ndio huishi maisha marefu mpk uzee wao
 
...si kweli, kuwa Wanaume walio kwenye ndoa, ndio huanza kufa,

"siku moja watoto wa familia moja walikuwa wanapanga nani atatangulia kufa! Jibu alikuwa ni baba wa familia, atafuata mama yao, na baadaye mtoto aliyezaliwa wa kwanza hadi wa mwisho..."

Biblia Takatifu inaweka wazi kuhusu kufa

...Zifuatazo ni sababu saba kwa mujibu wa Neno la Mungu ni kwanini watu wanakufa mapema(katika umri mdogo)
01. KUTOWAHESHIMU WAZAZI(BABA NA MAMA)

Biblia iko wazi sana na imesisitiza uhusiano mzuri na wa uhakika kati yetu na wazazi wetu - kinyume chake LAANA zitayaandama maisha yetu na maisha yetu hayatakuwa ya heri na marefu.

Ukisoma Waefeso 6:1-3 inasema,
Enyi watoto watiini WAZAZI wenu katika BWANA, maana hii ndiyo HAKI. Waheshimu baba na mama yako, amri hii ndiyo ya kwanza YENYE AHADI (za ustawi, baraka na wingi wa miaka), upate HERI, UKAE SIKU NYINGI( UISHI SIKU NYINGI) katika dunia, pia katika Kumbukumbu la Torati 5:16 Biblia inasema, Waheshimu BABA na MAMA yako; kama BWANA, Mungu wako alivyoamuru, SIKU ZAKO ZIPATE KUZIDI, nawe upate KUFANIKIWA katika nchi akupayo BWANA, Mungu wako.

Kwa mujibu wa maneno ya Mungu hapo juu ni dhahiri kabisa ya kuwa watu wote wasiowaheshimu wazazi wao, ni ngumu kufanikiwa, Laana zinawafuatilia na zaidi ya yote wana muda mchache wa kuishi WANAKUFA MAPEMA!

02. KUKOSA MAONO.
Kwa mujibu wa Biblia, mtu anayeishi ili mradi tu, asiyejua kwanini yupo duniani, asiyekuwa na kusudi na mpango katika maisha yake, na asiyeweza kupanga hata mipango ya kesho nitafanya a, b, c nk0„3 yuko katika hatari kubwa ya kuondoka duniani kabla ya muda wake, Biblia inasema, Pasipo MAONO watu huangamia.

Biblia ya kiingereza inasema,

"Without VISION people PERISH"

Jitahidi kuwa na maono ya muda mfupi na ya muda mrefu, Mungu anashughulika na walio nacho, wasiokuwa nacho hata kile kidogo walichonacho hunyanganywa.

03. KUTOKUMCHA MUNGU
Kumcha Mungu ni kuishi maisha yanayoongozwa na HOFU ya MUNGU (si woga dhidi ya Mungu)

Ni maisha ambayo moyo, mwili, nafsi na roho ya mtu inakuwa imejawa na kiu na njaa ya kumpendeza Mungu na kuyafanya maagizo yake yote - tena kwa furaha.
Mithali 10:27 inasema,

KUMCHA BWANAkwaongeza siku za mtu, Bali miaka yao WASIO HAKI itapunguzwa0„3¡À na pia Mhubiri 7:17 inasema, Usiwe MWOVU kupita kiasi; wala usiwe --------;

kwanini UFE KABLA YA WAKATI WAKO?
Kwa mujibu wa ushahidi huu wa Neno la Mungu, ni dhahiri kuwa maisha yasiyo na uchaji na yasiyoongozwa na hofu ya Mungu, yanawafanya wengi wafe kabla ya muda wao waliokusudiwa kuishi.

04. KUMWEKEA MUNGU MIPAKA
Hii ni hali ya mwanadamu kuamini kuwa Mungu anaweza hili na hili hawezi - kitendo hiki Mungu anakiita kuwa ni DHARAU0…4 kwake - Zaburi 78:41 inasema, Wakarudi nyuma wakamjaribu MUNGU; Wakamwekea MPAKA Mtakatifu wa Israel.
Mstari huu wa Zaburi unaelezea maisha ya wana wa Israel njiani toka Misri kwenda nchi ya Maziwa na Asali-Kanaani.
Biblia inaeleza jinsi Musa alivyowatuma wapelelezi 12 kwenda kuipeleleza nchi ya ahadi waone kama kama kweli ni nchi ya Maziwa na Asali, - 10 kati yao Waliporudi walirudisha ripoti ya kuwa kweli ile nchi ni ya maziwa na asali, ila inakaliwa na Wanefili-wana wa Anaki0„3-majitu na ya kwamba wao ni kama panzi tu na hawawezi kwenda na kuimiliki.
Joshua na Kalebu walileta habari njema - waliona kwa macho lakini wakazungumza kile ambacho ni UHAKIKA WA MAMBO YATARAJIWAYO wakamwamini Mungu kuwa aweza kuwapa ile nchi kuwa milki yao sawa na alivyomwapia Ibrahim(Hesabu sura ya 13 na ya 14) na wote waliomwekea Mungu mpaka walikufa huko jangwani, hawakuingia nchi ya ahadi WALIFUPISHA MAISHA YAO KWA KUTOKUAMINI KWAO - Ila Kalebu aliishi muda mrefu sana, alikuwa na nguvu kama za mtu wa miaka 40 hata alipokuwa na miaka 85( soma Joshua 14:6-14) na inaeleza pia ya kuwa Joshua alikuwa MZEE SANA, alikufa akiwa na miaka 110 lakini alikuwa na nguvu zake kamili mpaka pale BWANA alipompumzisha(Joshua24:1-29)

Kama unataka kuwa na maisha marefu, na unataka kuziongeza siku zako0„3-ishi maisha ya IMANI - Usimwekee Mungu mipaka, kumbuka, Njia zake zi juu mno na fahamu zake pia Isaya 55:8-11

05. KUTOKUMTUMIKIA MUNGU
Biblia inasema katika KUTOKA 23:25-26, Nanyimtamtumikia BWANA, Mungu wenu naye atakibarikia chakula chako, na maji yako; NAMI nitakuondolea Ugonjwa kati yako, na hesabu ya SIKU zako nitaitimiza.
Huu ni ukweli ambao inabidi uufahamu na uweke kwenye matendo. Unataka kuishi muda mrefu hapa duniani? kazi ni rahisi, fanya sehemu yako, MTUMIKIE BWANA naye ATAITIMIZA hesabu ya siku zako - HAUTAKUFA KABLA YA WAKATI.

06. MAISHA YA DHAMBI
Dhambi ni mbaya inakutenga mbali na Mungu (Isaya 59:1-2) lakini kibaya zaidi inapunguza maisha yako, inakufanya ufe kabla ya muda wako, Unafurahia kuishi maisha ya dhambi? ni mzinzi, mwongo, msengenyaji, usiyesamehe,mwenye kinyongo, kisasi nk? Unajipeleka kaburini kabla ya wakati wako - unafanya kazi ambayo mshahara uitwao MAUTI, utaupata.
Katika Warumi 6:23 Biblia inasema, Kwa maana mshahara wa DHAMBI ni MAUTI (KIFO), bali karama ya Mungu ni uzima wa Milele katika Kristo Yesu Bwana wetu, pia Biblia inasema, Roho itendayo DHAMBI ndiyo itakayo kufa.
Maisha ya dhambi yanakata muda wa mtu wa kuishi, Ni wangapi waliokufa wakiwa vijana wadogo kwa sababu ya UKIMWI kwa kutoikwepa dhambi ya Uzinzi? au ni Wezi wangapi wamekufa wakiwa katika harakati za kuiba?
Dhambi ni adui mkubwa kwangu na kwako!


07. KUKOSA BIDII KATIKA KUMPENDA MUNGU
Biblia iko wazi katika Zaburi ya 91:14-16, nayo inasema,
Kwa kuwa AMEKAZA (Ameweka bidii katika) KUNIPENDA, Nitamwokoa; na kumweka palipo juu (NITAMWINUA) kwa kuwa amenijua Jina langu. Ataniita nami nitamwitikia; Nitakuwa pamoja naye taabuni. Nitamwokoa na kumtukuza; KWA SIKU NYINGI nitamshibisha, Nami nitamwonyesha wokovu wangu.
Biblia inasema Atakayekaza/kuwa na bidii katika KUMPENDA MUNGU atashibishwa kwa WINGI WA SIKU.
Yesu ameweka wazi ni namna gani waweza kumpenda Yeye, Yohana 14:21 inasema, Yeye aliye na AMRI zangu, na kuzishika, yeye ndiye anipendaye, naye anipendaye atapendwa na Baba yangu; Nami nitampenda na kujidhihirisha kwake.
Nayo Mithali 3:1-2 inasema,
Mwanangu, usiisahau sheria yangu, Bali moyo wako uzishike AMRI zangu.Maana zitakuongezea WINGI WA SIKU, NA MIAKA YA UZIMA, NA AMANI.
Unapozishika sheria na Amri alizozitoa Bwana maishani mwako - huo ndo udhihirisho wa Upendo wako kwa Mungu aliye hai - kila unapoongeza bidii ya kumtii na kumheshimu Mungu - ukakaza kumpenda, ANAKUSHIBISHA KWA SIKU NYINGI. Wewe ndiye unayeweza kumwambia Bwana, hii miaka 90 inatosha, nimekwisha shiba maisha - nataka kurudi nyumbani au miaka 40 inatosha Bwana - nimeshiba siku nataka kurudi nikae na wewe - wewe ndo unayeamua wingi wa siku zako,
Tangu leo kaza kumpenda BWANA.
Nina amini umejifunza kitu, na ya kuwa wewe nawe utayagusa maisha ya wengine kwa KWELI hizi ambazo Bwana amesema na wewe kupitia kwangu.

Ubarikiwe Sana... Amina.

Nimekuelewa sana japo hauzungumzii mada iliyolengwa na mhusika.
 
Chukua time yako na ujiulize kwanini wanaume walio kwenye ndoa ndio huanza kufa na kuacha wajane?
Nimefuatilia kwa ukaribu nikagundua asilimia 75 mpaka 90 ya wanaume walio kwenye ndoa wameziacha familia zao
Tizama Nyerere kaacha Mjane,Mandela, Sokoine, Gadafi, Babu yangu alitangulia
Pia hata wewe yawezekana ilisha tokea kwako

umri wa kuoana unatofautiana baina ya mwanamke na mwanaume mara nyingi wanawake wanakuwa na umri mdogo kuliko mwanaume.
 
Nimekuelewa sana japo hauzungumzii mada iliyolengwa na mhusika.

...mkuu! Asante kwa kusema ukweli kuwa umenielewa! Ila sema kuwa unataka uchambuzi na dadadua zaidi bandiko langu!

'kwanza soma kwa umakini hii simulizi ya watoto, waliokuwa wanapanga nani atakufa wa kwanza katika familia yao!'

"siku moja watoto wa familia moja walikuwa wanapanga nani atatangulia kufa! Jibu alikuwa ni baba wa familia, atafuata mama yao, na baadaye mtoto aliyezaliwa wa kwanza hadi wa mwisho..."

(a) watoto walipataji jibu haraka sana, kuwa kwa vile baba yao ndiye mwenye umri mkubwa ktk familia yao' NDIYE ATAKAYE KUFA WA KWANZA, kabla ya mama yao!

kwahiyo moja kwa moja, unaona kuwa baba ktk NDOA ndiye wa kwanza kufa kwa sababu ndiye mwenye umri mkubwa kuliko mama yao!

"tukirudi kwa muanzisha Thread" yeye kajifanya kama vile hajui kuwa katika familia (NDOA) zilizo nyingi, WANAUME NDIYO WENYE UMRI MKUBWA KULIKO WAKE ZAO.

"ktk ndoa, utakuta mwanaume ana mzidi mkewe zaidi ya miaka 10 au zaidi" na kufa lazima afe wa kwanza.


Na mfano mwingine nilioutoa niwa MAANDISHI KUTOKA KATIKA KITABU KITATIFU, na sababu za kufanya mwanadamu afe mapema...

"kwahiyo siyo sawa kuwa wanaume walio kwenye ndoa, ndiyo uanza kufa..."
 
...si kweli, kuwa Wanaume walio kwenye ndoa, ndio huanza kufa,

"siku moja watoto wa familia moja walikuwa wanapanga nani atatangulia kufa! Jibu alikuwa ni baba wa familia, atafuata mama yao, na baadaye mtoto aliyezaliwa wa kwanza hadi wa mwisho..."

Biblia Takatifu inaweka wazi kuhusu kufa

...Zifuatazo ni sababu saba kwa mujibu wa Neno la Mungu ni kwanini watu wanakufa mapema(katika umri mdogo)
01. KUTOWAHESHIMU WAZAZI(BABA NA MAMA)

Biblia iko wazi sana na imesisitiza uhusiano mzuri na wa uhakika kati yetu na wazazi wetu - kinyume chake LAANA zitayaandama maisha yetu na maisha yetu hayatakuwa ya heri na marefu.

Ukisoma Waefeso 6:1-3 inasema,
Enyi watoto watiini WAZAZI wenu katika BWANA, maana hii ndiyo HAKI. Waheshimu baba na mama yako, amri hii ndiyo ya kwanza YENYE AHADI (za ustawi, baraka na wingi wa miaka), upate HERI, UKAE SIKU NYINGI( UISHI SIKU NYINGI) katika dunia, pia katika Kumbukumbu la Torati 5:16 Biblia inasema, Waheshimu BABA na MAMA yako; kama BWANA, Mungu wako alivyoamuru, SIKU ZAKO ZIPATE KUZIDI, nawe upate KUFANIKIWA katika nchi akupayo BWANA, Mungu wako.

Kwa mujibu wa maneno ya Mungu hapo juu ni dhahiri kabisa ya kuwa watu wote wasiowaheshimu wazazi wao, ni ngumu kufanikiwa, Laana zinawafuatilia na zaidi ya yote wana muda mchache wa kuishi WANAKUFA MAPEMA!

02. KUKOSA MAONO.
Kwa mujibu wa Biblia, mtu anayeishi ili mradi tu, asiyejua kwanini yupo duniani, asiyekuwa na kusudi na mpango katika maisha yake, na asiyeweza kupanga hata mipango ya kesho nitafanya a, b, c nk�0„3 yuko katika hatari kubwa ya kuondoka duniani kabla ya muda wake, Biblia inasema, Pasipo MAONO watu huangamia.

Biblia ya kiingereza inasema,

"Without VISION people PERISH"

Jitahidi kuwa na maono ya muda mfupi na ya muda mrefu, Mungu anashughulika na walio nacho, wasiokuwa nacho hata kile kidogo walichonacho hunyanganywa.

03. KUTOKUMCHA MUNGU
Kumcha Mungu ni kuishi maisha yanayoongozwa na HOFU ya MUNGU (si woga dhidi ya Mungu)

Ni maisha ambayo moyo, mwili, nafsi na roho ya mtu inakuwa imejawa na kiu na njaa ya kumpendeza Mungu na kuyafanya maagizo yake yote - tena kwa furaha.
Mithali 10:27 inasema,

KUMCHA BWANAkwaongeza siku za mtu, Bali miaka yao WASIO HAKI itapunguzwa�0„3¡À na pia Mhubiri 7:17 inasema, Usiwe MWOVU kupita kiasi; wala usiwe --------;

kwanini UFE KABLA YA WAKATI WAKO?
Kwa mujibu wa ushahidi huu wa Neno la Mungu, ni dhahiri kuwa maisha yasiyo na uchaji na yasiyoongozwa na hofu ya Mungu, yanawafanya wengi wafe kabla ya muda wao waliokusudiwa kuishi.

04. KUMWEKEA MUNGU MIPAKA
Hii ni hali ya mwanadamu kuamini kuwa Mungu anaweza hili na hili hawezi - kitendo hiki Mungu anakiita kuwa ni DHARAU�0…4 kwake - Zaburi 78:41 inasema, Wakarudi nyuma wakamjaribu MUNGU; Wakamwekea MPAKA Mtakatifu wa Israel.
Mstari huu wa Zaburi unaelezea maisha ya wana wa Israel njiani toka Misri kwenda nchi ya Maziwa na Asali-Kanaani.
Biblia inaeleza jinsi Musa alivyowatuma wapelelezi 12 kwenda kuipeleleza nchi ya ahadi waone kama kama kweli ni nchi ya Maziwa na Asali, - 10 kati yao Waliporudi walirudisha ripoti ya kuwa kweli ile nchi ni ya maziwa na asali, ila inakaliwa na Wanefili-wana wa Anaki�0„3-majitu na ya kwamba wao ni kama panzi tu na hawawezi kwenda na kuimiliki.
Joshua na Kalebu walileta habari njema - waliona kwa macho lakini wakazungumza kile ambacho ni UHAKIKA WA MAMBO YATARAJIWAYO wakamwamini Mungu kuwa aweza kuwapa ile nchi kuwa milki yao sawa na alivyomwapia Ibrahim(Hesabu sura ya 13 na ya 14) na wote waliomwekea Mungu mpaka walikufa huko jangwani, hawakuingia nchi ya ahadi WALIFUPISHA MAISHA YAO KWA KUTOKUAMINI KWAO - Ila Kalebu aliishi muda mrefu sana, alikuwa na nguvu kama za mtu wa miaka 40 hata alipokuwa na miaka 85( soma Joshua 14:6-14) na inaeleza pia ya kuwa Joshua alikuwa MZEE SANA, alikufa akiwa na miaka 110 lakini alikuwa na nguvu zake kamili mpaka pale BWANA alipompumzisha(Joshua24:1-29)

Kama unataka kuwa na maisha marefu, na unataka kuziongeza siku zako�0„3-ishi maisha ya IMANI - Usimwekee Mungu mipaka, kumbuka, Njia zake zi juu mno na fahamu zake pia Isaya 55:8-11

05. KUTOKUMTUMIKIA MUNGU
Biblia inasema katika KUTOKA 23:25-26, Nanyimtamtumikia BWANA, Mungu wenu naye atakibarikia chakula chako, na maji yako; NAMI nitakuondolea Ugonjwa kati yako, na hesabu ya SIKU zako nitaitimiza.
Huu ni ukweli ambao inabidi uufahamu na uweke kwenye matendo. Unataka kuishi muda mrefu hapa duniani? kazi ni rahisi, fanya sehemu yako, MTUMIKIE BWANA naye ATAITIMIZA hesabu ya siku zako - HAUTAKUFA KABLA YA WAKATI.

06. MAISHA YA DHAMBI

ka! Dini zipo nyingi kweli
 
Chukua time yako na ujiulize kwanini wanaume walio kwenye ndoa ndio huanza kufa na kuacha wajane?
Nimefuatilia kwa ukaribu nikagundua asilimia 75 mpaka 90 ya wanaume walio kwenye ndoa wameziacha familia zao
Tizama Nyerere kaacha Mjane,Mandela, Sokoine, Gadafi, Babu yangu alitangulia
Pia hata wewe yawezekana ilisha tokea kwako

Uliowataja hapo ndio wanafikisha hiyo asilimia 75 -90?
 
Chukua time yako na ujiulize kwanini wanaume walio kwenye ndoa ndio huanza kufa na kuacha wajane?
Nimefuatilia kwa ukaribu nikagundua asilimia 75 mpaka 90 ya wanaume walio kwenye ndoa wameziacha familia zao
Tizama Nyerere kaacha Mjane,Mandela, Sokoine, Gadafi, Babu yangu alitangulia
Pia hata wewe yawezekana ilisha tokea kwako

Kwani umri wa kufa ni miaka mingapi?
 
 
Last edited by a moderator:
Mi naona hii hutokana na tofauti ya umri kati ya mume na mke. mara nyingi wanaume wengi hupenda kuoa wanawake ambao wamewazidi umri tena zaidi ya miaka kumi. na tukitazama kanuni ya fifo ni automatikali mwanaume atatangulia tu kufa.
 
Katika mikoa mbalimbali niliyofaniki kuishi na pia wakati nikisoma shule nimegundua kua familia nyingi ambazo zimepoteza mzazi mmoja mara nyingi anakua ni wa kiume.Tatizo ni nini?

Tujadili
 
Back
Top Bottom