Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

Namnukuu Dr Izack Ndodi,alisema sababu kubwa Men kufa mapema ni kila unapofunga bao moja ktk mechi anapunguza cku za kuishi.

Dah mkuu hii kwel.kama hivyo sasa mm si nitakufa miaka michache ijayo coz kila baada ya diku lazima nichuje 5
 
Sio kwa binadamu tu hata kwa dume la nyuki ni hivyo hivyo, kale kamchezo kanapunguza siku za kuishi sana. Chezea kilomita saba kwa goli moja wewe...
 
mungu tu akiamua kuchukua waja wake ,ni mapenzi ya mungu hayo
 
Wanaume wana mambo mengi sana ya kufikiria na kuyatenda;
Wanaume wakiwa na kitu chochote kigumu huwa hawasemi popote,
anakaa nalo moyoni hadi mishipa inajaa mwisho wa siku ni ugonjwa wa moyo,
mapresha na masukari unakuta muda kidogo anaondoka.

Wanawake pamoja na kuwa tuna matatizo mengi lakini sie huwa
hatuyakusanyii moyoni, tunakuwa wepesi kuyasema au kuomba ushauri
kwa hiyo hatuna mastess.
 
Kwa Mujibu wa "NABII TITO MWANZARIMA wa kanisa la Mpapaso" Lilopo Kigamboni.

Yeye katika Kijarida chake cha "KUNYWA POMBE NA KUZAA NA HOUSE GIRL SIO DHAMBI" anadai kuwa,

Audui Mkubwa wa Maisha ya mwanamume kwa nyakati hizi ni Mwanamke.
Anatoa Nukuu kwenye Maandiko Mwanzo 25:6-7 Ibrahim alikufa akiwa na miaka 170 huku Sara alikufa angali hajafikisha miaka 100. Anasema kuwa ukutaka kujua kuwa Mkeo ndio Ndio adui wa Lifespan yako Soma vizuri Ayubu 2:1-13, Waamuzi 16:1-3

Akaaenda mbali zaidi akasema kuwa Jaribu kuzunguka Mikoani utaona baadhi ya Wenye nyumba ni akina Mama. Akafafanunua kuwa baadhi ya akina Mama katika Familia zao wakiona kunna mali/mafanikio kidogo ndani ya familia,hupenda Kuaelekeza Waume zao KIBRA na wao kumiliki Mali hizo.

Sababu ya Kisomi nnayoikubali, ni ile inayosema kuwa Mwanamume yeye ni mtafutaji na kuhakikisha. Familia inakula na kuprovide mambo yote. Hivyo hii humfanya mwanamume kufikiria mara dufu zaidi ya mwanamke ndio maaana hupelekea lifespan yake kupungua kwani Stress pia hupunguza lifespan ya Mtu.
 
Hicho kijarida kinapatikana wapi mkuu!
 
the causes are so clear! wanaume hutumia energies nyingi sana ktk kutafakari maisha kujijenga kiuchumi na kutengeneza familia iliyo bora we suffer too ! so brain + energy + work force inasababisha kuchokesha mwili let take example of daladala they way it work !?
 
Wanaume wana mambo mengi sana ya kufikiria na kuyatenda;
Wanaume wakiwa na kitu chochote kigumu huwa hawasemi popote,
anakaa nalo moyoni hadi mishipa inajaa mwisho wa siku ni ugonjwa wa moyo,
mapresha na masukari unakuta muda kidogo anaondoka.

Wanawake pamoja na kuwa tuna matatizo mengi lakini sie huwa
hatuyakusanyii moyoni, tunakuwa wepesi kuyasema au kuomba ushauri
kwa hiyo hatuna mastess.

Well said wanaume wana mambo mengi kichwani ya kufanyA kufikiru tofauti na wanawake wanaume unaweza kuta ana tatizo anaweka moyoni wakat mwanamke anaomba ushauri au kulia kuna mpunguzia mawazo na stress biological makeup ni tofauti wanawake wanatoa sumu kila mwezi wanaume ni tofauti
 
haukugundua kuwa pia wazazi wa kiume huwa wana umri mkubwa kulik wa kike?

pia hukuona kuwa wazazi wa kiume huwa wana mambo meengi mengine hata hayana msingi, lakini yanaharibu afya?

Haukugundua kuwa mzazi wa kike ana sehemu za ziada za kutunzia chakula hivyo kumfanya aishi muda mrefu bila kula?

ntarudi..................!

Mkuu hapo kwenye nyekundu umenivunja mbavu, kuna ukweli ndani yake
 
Hushangai hata siku za sikukuu anachinjwa jogoo anaachwa mtetea.
 
Katika mikoa mbalimbali niliyofaniki kuishi na pia wakati nikisoma shule nimegundua kua familia nyingi ambazo zimepoteza mzazi mmoja mara nyingi anakua ni wa kiume.Tatizo ni nini? Tujadili

wanaendekeza michepuko,wanapata stres wanavuta
 
WANAWAKE wengi ni wachawi(baadhi) hushiriki ktk kuwapoteza waume zao ili kukamatia mali.
#kwa wenyeji wa mikoa ya Arusha na Kilimanjaro nadhani watakua mashahidi wa hili.
Acha kua 'narrow perspective' kias icho mkuu,hili ni tatizo la dunia nzima.
 
Waliwahi kuzaliwa

Uoniwanaume wengi ni wakubwa kuliko wakezao kasoro mimi
 
wanaume wengi wanaoa wake walio Wazidiumri mbali then nani anatakiwa aanze?
 
Back
Top Bottom