Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

Mtazamo wangu kwa kweli naona wanaume kwa asilimia kubwa tunaishi maisha mafupi zaidi ya wanawake kutokana na mambo mengi yanayosumbua akili ya maisha tunayokutana nayo, kufanya kazi ngumu, kupoteza nguvu nyingi kwenye tendo la ndoa na kutoijali afya ya mwili kama wanawake wanavyoijali.

Na inazidi zaidi pale mwanaume pamoja na kuzidiwakipato bado anatafuta pesa ili kuhakikisha anamfurahisha zaidi mwanamke wake japo anamapesa kumzidi sasa hapo kwa nn asife napema. Naona kwa mujibu wa sababu kibao mwanaume ni lazima kufa napema
 
Wanaume wana mambo mengi sana ya kufikiria na kuyatenda;
Wanaume wakiwa na kitu chochote kigumu huwa hawasemi popote,
anakaa nalo moyoni hadi mishipa inajaa mwisho wa siku ni ugonjwa wa moyo,
mapresha na masukari unakuta muda kidogo anaondoka.

Wanawake pamoja na kuwa tuna matatizo mengi lakini sie huwa
hatuyakusanyii moyoni, tunakuwa wepesi kuyasema au kuomba ushauri
kwa hiyo hatuna mastess.

Duh vipi kuhusu ngoma! Kina nani inawatafuna mapema?
 
ni kweli ulichosema wanaume wana maisha mafupi uki compare na wanawake;
wanaume ni watumiaji wa vilevi vikali kuliko wanawake.
wanaume wanaongoza kwa kuwa na stress kuliko wanawake coz wanaume wengi ni wakimya tofauti na wanawake huzipunguza stress zetu kwa kuongea.
wanaume wanaongoza kwa kuwa na maradhi coz wengi wao ni watu wa kukaa sehemu moja tofauti na wanawake tunajishughulisha sana so inakuwa kama part ya mazoezi
nikikumbuka mengine nmtaongeza
 
Ngoja nilete kiona mbali changu:
(1) Kwa ugonjwa; Nyerere, Mandera, Haile, Bongo, Idd Amin, Bokassa, n.k.
(2) Kwa mtutu: Lumumba, Karume, Gaddafi, Osama, Samwel, Mondlane, n.k.
(3) Kwa ajali: Machel, Saitot, n.k.
Wote wameacha wajane. Duh, kweli bwana, wanaume tunakwisha.
 
osama, 2 PAC, Balali hawa ni utata!
 
ni kweli ulichosema wanaume wana maisha mafupi uki compare na wanawake;
wanaume ni watumiaji wa vilevi vikali kuliko wanawake.
wanaume wanaongoza kwa kuwa na stress kuliko wanawake coz wanaume wengi ni wakimya tofauti na wanawake huzipunguza stress zetu kwa kuongea.
wanaume wanaongoza kwa kuwa na maradhi coz wengi wao ni watu wa kukaa sehemu moja tofauti na wanawake tunajishughulisha sana so inakuwa kama part ya mazoezi
nikikumbuka mengine nmtaongeza

ongezea hizi:wanaume wengi wanafanya kazi hatarishi kama vile migodini,udereva,uvuvi,ujenzi wa minara na majengo marefu,ujambazi n.k,pia baadhi ya makabila mwanaume akipata mafanikio kifedha mwanamke humuwahisha mbele ya haki ili amiliki mali mfano WAJITA,WACHAGA na WANYAKYUSA over!
 
kipengele A ni kweli kabisa ila kipengele B sina uhakika sana
 
Habari zenu wana jamvi wenzangu.

Leo natamani kupata mawazo yenu kuhusu hili jambo limekuwa likinisumbua kichwa changu. Hivi ni kwanini asilimia kubwa ya ndoa wanaume ndio huwa wanatangulia kufa na kuwaacha wake zao, tofauti na wanawake wanaoacha waume.

Kuna siri gani katika hili maana ukifanya research wajane ndio wengi karibu asilimia 80.
 
Mkuu we jiandae kubaki mjane tu,maana hamna namna na atakufa tu!:rip:
 
Majukumu yao mengi so presha nje nje.Unamkuta mtu kaoa na watoto wake bado ana michepuko zaidi ya mitatu ambayo pia inahitaji matumizi bado wazazi na ndugu.Kwa hiyo unakuta kichwa kila saa kina mawazo.Ila sio kwa wote msije niponda mawe buree
 
majukumu mengi mwili unachoka mapema... alafu nahisigi hata kupizz kunapunguza siku za kuishi .. si kila mwanamke anapizz wakati wa ngono ila mwanaume hadi mara tano ndiyo maana wanakufa
 
1. Angalia umri wanandoa wanavyooana. Je mume na mke ni yupi anakuwa na umri mkubwa. Kumbuka kuwa kijana anaweza kufa lakini mzee ni lazima kufa kwa sababu kifo ndio mwisho wa maisha na uzee ndio umri wa mwisho
2. Wanawake kubaki wajane, ni wanaume ndio hasa huamua kuoa. Hivyo mwanaume akifiwa na mke ni rahisi kuamua kuoa mke mwingine ili asibaki mjane , mwanamke akifiwa atasubiri kama atatokea mume mwingine wa kumuoa
 
majukumu mengi mwili unachoka mapema... alafu nahisigi hata kupizz kunapunguza siku za kuishi .. si kila mwanamke anapizz wakati wa ngono ila mwanaume hadi mara tano ndiyo maana wanakufa

Wewe mtoto wewe yani baba yako anamaliza hela zake za bure kukusomesha ngoja nimshauri akuoze tu....
 
majukumu mengi mwili unachoka mapema... alafu nahisigi hata kupizz kunapunguza siku za kuishi .. si kila mwanamke anapizz wakati wa ngono ila mwanaume hadi mara tano ndiyo maana wanakufa

Eti nini? Hebu rudia tena umesema.. ..!!!?
 
Majukumu yao mengi so presha nje nje.Unamkuta mtu kaoa na watoto wake bado ana michepuko zaidi ya mitatu ambayo pia inahitaji matumizi bado wazazi na ndugu.Kwa hiyo unakuta kichwa kila saa kina mawazo.Ila sio kwa wote msije niponda mawe buree

Acha majibu ya reja reja!!!!
 
Mwili na akili ya mwanaume ktk ndoa hutumika kwa nguvu mara kumi zaidi ya mwanamke,pia wanaume tunaujinga wa kuweka uchungu mioyoni badala ya kuutoa km wafanysvyo wanawake kwa kulia lia,na pia kujidai vidume kushiriki ngono kwa sifa na mara nyiiiiiingi hupunguza cku za kuishi,thus all
 
Back
Top Bottom