MaliShambani
Member
- Jun 25, 2014
- 55
- 19
Katika mikoa mbalimbali niliyofaniki kuishi na pia wakati nikisoma shule nimegundua kua familia nyingi ambazo zimepoteza mzazi mmoja mara nyingi anakua ni wa kiume.Tatizo ni nini? Tujadili
haukugundua kuwa pia wazazi wa kiume huwa wana umri mkubwa kulik wa kike?
pia hukuona kuwa wazazi wa kiume huwa wana mambo meengi mengine hata hayana msingi, lakini yanaharibu afya?
Haukugundua kuwa mzazi wa kike ana sehemu za ziada za kutunzia chakula hivyo kumfanya aishi muda mrefu bila kula?
ntarudi..................!