Curtis De Mi Amor
Senior Member
- Jan 9, 2022
- 136
- 514
Hivi watoto wa kike hamuwezi kabisa kuishi kwa vipato vyenu mpaka muombe ombe hela kwa wanaume?
Yaani hamuamini mnaweza mkawa self dependent bila wanaume? Ni kwanini mnageuza miili yenu kuwa sehemu za kujipatia kipato?
Ni lazima mvae nusu uchi? Ukitongozwa ni lazima uombe hela? Hio elimu uliyopewa shuleni haikutoshi kuhustler mwenyewe?
Mkiambiwa ukweli mnanuna, mnafura na mnazira. Badilikeni mwaka unaelekea ukingoni kuweni independent sio kila kitu kutegemea wanaume na kama tusingekuepo?