Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Hii imekaa kibabe sana mamæ 🤣🤣🤣🙌Kuna vijana wenzako wameanzisha chama wa wapiga punyeto kaombe uanachama.
Hakuna mbunye ya bure mjini, kinachokusumbuwa ni tatizo la kiuchumi pambana wakati wako wa kuchakata bado, wanawake wana mahitaji yao ambayo yanafanywa na mwanaume.
Hakuna mzazi wa kumnunulia binti yake wigi la lakini tatu hilo ni jukumu lako wewe unayechakata mbususu, huwezi kama pembeni waachie vidume wachakate wewe senti yako peleka sadaka kanisani mchungaji apate mshiko kuchakatia kondoo.