Je, Wanawake mnaweza Kweli kusahau Wapenzi wenu wa Zamani?

Kwa ufupi sana mkishaonganisha miili yenu kwa ngono tayari kuna muunganiko na ongezeko la mwili mwingine kwa mwanamke, mwa huyo mtu.

Sasa kinachotokea ni mwanamke huwa break kwa muda ikiwa aliyenae kwa wakati huwa humpa furaha, ila mambo yakienda kinyume, akikutana na EX wake basi ni rahisi kujirudi kwani kuna ule muunganiko walioufanya awali.

Maumivu ya hisia husahaulika ndio maana unapenda tena na tena na tena, hata kama uliumizwa sana.

Kwa nini kwa mwanamke? Ndiye amebeba dhamana katika mahusiano na ndiye mwenye mahusiano haswaaa. Ndio maana mwanamke hatulii mpaka AJITULIZE, na mwanaume hatulii mpaka ATULIZWE.
 


Maumivu ya hisia husahaulika ndio maana unapenda tena na tena na tena, hata kama uliumizwa sana.
Huu ujumbe ndo umebeba uhalisia wa Maisha katika uhusiano, ila kusema kwamba EX, huachana milele, πŸ˜’, ni ngumu sana,

Ndo maana ex, Hata ukiona amepost picha iwe fb au insta, Lazima moyo ukumue kidogo. ( Huo ni muunganiko kama ulivyo sema)
 
Ujanja wenu upo kwenye kuvua chupi.
Once umekuvua, utaendelea kumvulia again and again siku yoyote akitaka.
😁😁, Hapo ndo mzizi ulipo, ukifanikiwa hapo, huwa ni milele na milele ni mwendo wa kula tunda.
 
Koh koh koh
 
Huu ujumbe ndo umebeba uhalisia wa Maisha katika uhusiano, ila kusema kwamba EX, huachana milele, πŸ˜’, ni ngumu sana,

Ndo maana ex, Hata ukiona amepost picha iwe fb au insta, Lazima moyo ukumue kidogo. ( Huo ni muunganiko kama ulivyo sema)
Basi kuchepuka itakuwa milele na milele, maana hao x, tayari wapo kwenye ndoa.
 
Kuna mpuuzi mmoja alioa ex wangu niliyezaa naye mtoto mmoja, huwa napeleka mahitaji ya mwanangu na kuomba tupashe kiporo. Najilia tu tani yangu nitakavyo na hela namuachia. Hajanisahau
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ, Dah haya mambo Aise, mapenzi ni takataka, Ndo maana baadhi ya mabaharia yanataka kuoa mwanamke bikra.
 
Vipi kuhusu afya yako , matumizi ya Arv umeshaanza? Magonjwa mengi now dayz achana na upuuzi.


Vipi kuhusu afya yako
Afya yangu ipo vizuri tu mkuu, nipo zangu Bush huku nabeba magunia ya mahindi.

β€’ 😁😁, Ndom mbona nyingi sana mkuu, ni jero jero tu.

β€’ Ukimwi wa miaka hii siyo mkali sana, tofauti na wazamani πŸ˜‹,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…