mimimnyenyekevu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 737
- 1,002
Sio kweliHawala hana taraka, ukitaka unampata.
Mwanamke ambaye once alikuvulia chupi, huwa Hana ujanja ukimtaka tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweliHawala hana taraka, ukitaka unampata.
Mwanamke ambaye once alikuvulia chupi, huwa Hana ujanja ukimtaka tena.
Ujanja wenu upo kwenye kuvua chupi.Sio kweli
Kwa ufupi sana mkishaonganisha miili yenu kwa ngono tayari kuna muunganiko na ongezeko la mwili mwingine kwa mwanamke, mwa huyo mtu.
Sasa kinachotokea ni mwanamke huwa break kwa muda ikiwa aliyenae kwa wakati huwa humpa furaha, ila mambo yakienda kinyume, akikutana na EX wake basi ni rahisi kujirudi kwani kuna ule muunganiko walioufanya awali.
Maumivu ya hisia husahaulika ndio maana unapenda tena na tena na tena, hata kama uliumizwa sana.
Kwa nini kwa mwanamke? Ndiye amebeba dhamana katika mahusiano na ndiye mwenye mahusiano haswaaa. Ndio maana mwanamke hatulii mpaka AJITULIZE, na mwanaume hatulii mpaka ATULIZWE.
Huu ujumbe ndo umebeba uhalisia wa Maisha katika uhusiano, ila kusema kwamba EX, huachana milele, 😒, ni ngumu sana,Maumivu ya hisia husahaulika ndio maana unapenda tena na tena na tena, hata kama uliumizwa sana.
Koh koh kohSitoweza msahau baba watoto wangu kwa sababu alinitoa sehemu ambapo hata ndugu zangu wa karibu hawakujua hali niliyokuwa ninapitia[emoji18]nilikuwa napitia hali hatarishi na isiyokuwa na mwelekeo wala mwanga.
Hapa nilipo ni kwa sababu yake,mafanikio ninayoyapata japo kidogo mzizi ni yeye kuletwa na Mungu ili anivushe katika mapito.
Anafamilia yake kwa sasa na watoto wengine na upendo uliopo kati yangu,mkewe na Yeye ni ule upendo wa kiMungu[emoji122]
Niliahidi sitokuja fanya mchezo wa kipumbavu wa kutoka nae kimapenzi tena.
Kila ninapowaombea vijana wangu pamoja na wazazi wangu basi babawatoto,mkewe na watoto wao lazima wawepo maombini[emoji122]
Sio kila Ex ni m’baya au ni lazima mkutane kimwili.Kuna maEx hupanda mbegu njema yenye kumea kila kukicha katika maisha ya mhusika[emoji4]
Basi kuchepuka itakuwa milele na milele, maana hao x, tayari wapo kwenye ndoa.Huu ujumbe ndo umebeba uhalisia wa Maisha katika uhusiano, ila kusema kwamba EX, huachana milele, 😒, ni ngumu sana,
Ndo maana ex, Hata ukiona amepost picha iwe fb au insta, Lazima moyo ukumue kidogo. ( Huo ni muunganiko kama ulivyo sema)
😃😃😃, Dah haya mambo Aise, mapenzi ni takataka, Ndo maana baadhi ya mabaharia yanataka kuoa mwanamke bikra.Kuna mpuuzi mmoja alioa ex wangu niliyezaa naye mtoto mmoja, huwa napeleka mahitaji ya mwanangu na kuomba tupashe kiporo. Najilia tu tani yangu nitakavyo na hela namuachia. Hajanisahau
Kuna mpuuzi mmoja alioa ex wangu niliyezaa naye mtoto mmoja, huwa napeleka mahitaji ya mwanangu na kuomba tupashe kiporo. Najilia tu tani yangu nitakavyo na hela namuachia. Hajanisahau
Vipi kuhusu afya yako , matumizi ya Arv umeshaanza? Magonjwa mengi now dayz achana na upuuzi.
Afya yangu ipo vizuri tu mkuu, nipo zangu Bush huku nabeba magunia ya mahindi.Vipi kuhusu afya yako
tena tukikutana tunapeana mapenzi motomoto kama mwanzoUnajikuta mjanja?
Huyo malaya atavuna atachopanda,tena tukikutana tunapeana mapenzi motomoto kama mwanzo
Kumbe huwa una Akili hivi Chakorii 😄😄, dah sijui no !!! 🏃🏃🏃🏃🏃Ni kweli..alinitoa kwenye magumu na kunipa mwanga yule kijana wa watu maskini..Mungu azidi kumfungulia milango ya Baraka na kila analogusa likafanikiwe asione njaa maishani mwake mwote