Je, Wanawake mnaweza Kweli kusahau Wapenzi wenu wa Zamani?

Aminaaaaa!!!!!
 
Sio kila Ex ni mbayaa, hata km mnaachana kwa ugomvi au visa ila kuna moments zinafanya moyoo ufunguke na uwe mpoleee.

Popote ulipooo M barikiwa sanaa, siwezi eleza ni jinsi gani uliacha alama kwangu, nahisi ni kiumbe uliyezaliwa ili uje uniinue na kunipaisha.

Hakukua na mtu ambaye angeweza kuwa au kusimama na mie, sio wazazi, ndugu, jamaa hata marafikii, lakini ulijitokeza wewee kuwa karibu yangu na kunifanya niwe imara zaidi ya mwanzo.

Nakumbuka neno lako kuu "maisha ni vile unaishi, tunaishi mara 1 tyuuh" na msemo wako maarufu "ukipewa kilema, unapewa na mwendo" [emoji24][emoji24][emoji24]

Fanikiwa zaidi na zaidi M, natamani nikuone siku 1ili ushuhudie yale uliyoninenea na hakika kwa 90% yametimiaaaa.

Ex wangu weweee ni wa thamaniiii.
 
Kwahyo hajawahi kufanya jema lolote kwako?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahyo hajawahi kufanya jema lolote kwako?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijawahi kuona Jambo Zuri hata moja alilowahi kunitendea hata moja sijawahi kuona Ila mabaya ni zaidi ya elfu kwanza alikua tapeli muongo muongo kibaka kibaka fulani mpenda Pesa za kitonga sababu anajua zipo basi anajizushia hata msiba au ugonjwa hata km hajafiwa na haumwi kashaua watu wengi kwa vifo vya uongo sasa mtu huyo mzuri?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sanaa, bas poleee
 
😊😊😊😊, Dahh, mbona EX anatumiwa mjumbe mtamu hivi?, cocastic una ex mmoja tu?
 
Naona umetoa ya moyoni πŸ˜€πŸ˜€, Mkuu ex wako ulimfumania nini? πŸ˜’
 
SEMA yote kama mwanamke anakupenda atazaa na wewe, kukupa utelezi kwao sio shida, amini usiamini shauri yako
Kuzaa ni siri zito sana, Mwanamke akikupenda anaweza kukupa hata mimba ambayo siyo yako, ila kama hakupendi anaweza kukunyima mimba hata kama wewe ndo mhusika mkuu.
 
Tunaposema kuoa mwanamke Sio bikira ni Sawa na kuoa mke wa mtu muwe mnaelewa.

Msishupaze shingo.
Siku hizi Bikra zenyewe zinatolewa watoto bado wadogo sana, 12age bikra tayari imesha tolewa 😐
 
Tatizo hauhudhurii vikao, tulishakubaliana mwanamke akisomeshwa sana mwisho ni ufundi cherehani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…