Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Wakati harakati za wakenya kupinga Bajeti ya nchi hiyo zikiendelea, nimekuwa navutiwa na ujasiri wa wanawake wa Kenya wanavyopambana mstari wa mbele kupinga Bajeti hiyo.
Wanawake hao wanapaza sauti zao bila ya hofu wala jazba lakini kiufundi Sana wanaonesha hasira zao dhidi ya Serikali ya nchi Yao.
Nikajiuliza, ni lini Tanzania tutapata wanawake wenye ujasiri wa aina hiyo??