Je, wanawake wa Tanzania wanaweza kupambania haki zao kama wanawake wa Kenya!?

Je, wanawake wa Tanzania wanaweza kupambania haki zao kama wanawake wa Kenya!?

Wakati harakati za wakenya kupinga Bajeti ya nchi hiyo zikiendelea, nimekuwa navutiwa na ujasiri wa wanawake wa Kenya wanavyopambana mstari wa mbele kupinga Bajeti hiyo.

Wanawake hao wanapaza sauti zao bila ya hofu wala jazba lakini kiufundi Sana wanaonesha hasira zao dhidi ya Serikali ya nchi Yao.

Nikajiuliza, ni lini Tanzania tutapata wanawake wenye ujasiri wa aina hiyo??

Walipoonekana wamekaa na kupanda chopa moja na Mabowe waliosoma Cuba wakaelewa, ila nyumbu bado wako kwenye usingizi wa pono.

Pole Lisu ukipona achana kabisa na kutaka uenyekiti wa Chadema , sumu haionjwi
 
Back
Top Bottom