Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Fatma Karume wa zamani...😂😂😛Wapo mfano wa Helen Kijo-Bisimba, Anenilya Nkya,Maria Sarungi, Fatma Karume wa zamani n.k
Ngoja tuwaache...Aache kunywa savannah ya baridi..na rosti kilo na ndizi mbili..na Iphone macho 3..na lake la nne...na kutoka jioni na kurudi asubuhi na uber...
Aende barabarani akafanye nn! Waacheni dada zetu
Kwa hapa Tanzania uoga sio jambo la jinsia Bali ni la wote.Wakati harakati za wakenya kupinga Bajeti ya nchi hiyo zikiendelea, nimekuwa navutiwa na ujasiri wa wanawake wa Kenya wanavyopambana mstari wa mbele kupinga Bajeti hiyo.
Wanawake hao wanapaza sauti zao bila ya hofu wala jazba lakini kiufundi Sana wanaonesha hasira zao dhidi ya Serikali ya nchi Yao.
Nikajiuliza, ni lini Tanzania tutapata wanawake wenye ujasiri wa aina hiyo??
NILIWAHI kujaribu lakini kilichonipata ni mwaka wa Saba Sasa...nilikutana na unyanyasaji wa ajabuWakati harakati za wakenya kupinga Bajeti ya nchi hiyo zikiendelea, nimekuwa navutiwa na ujasiri wa wanawake wa Kenya wanavyopambana mstari wa mbele kupinga Bajeti hiyo.
Wanawake hao wanapaza sauti zao bila ya hofu wala jazba lakini kiufundi Sana wanaonesha hasira zao dhidi ya Serikali ya nchi Yao.
Nikajiuliza, ni lini Tanzania tutapata wanawake wenye ujasiri wa aina hiyo??
Wanaume wapo kenya huku wote ni wanawakeNyie wanaume mmejificha, sisi ndio tukapigwe na mabomu ya machozi?
🤣🤣🤣🤣 CountrywideWanaume wapo kenya huku wote ni wanawake
Kuna quality mwanamke anakua nayo, bahati mbaya wale walioikosa huwa wanageuka kuwa lizards, na ndio hao huangukia kwenye kundi la rejects
Wewe uko kundi gani la hao rejects? 🤭Kuna quality mwanamke anakua nayo, bahati mbaya wale walioikosa huwa wanageuka kuwa lizards, na ndio hao huangukia kwenye kundi la rejects
Wanaume wapo kenya huku wote ni wanawake