first of all..i did quote your statement which explained in brief that "spirit is what drives a body"..but ofcourse i have to defend my point too..
So,this can be difficult to explain especially to non-believers since kwa vitabu vya dini tunaamini kwa "imani",na imani ni kujua bayana ya mambo yasiyokuwezekana..in short kwa hali ya kawaida ya kibinadamu.So,achilia mbali imani (japo tutarudi tena hapo).
In short, a spirit is a force, or a part of it.As we all know,a force is something that you cant see,rather you can feel its effect.Na until today,sayansi haijaweza kutuambia hasa,force ni nini? huanzia wapi? sana sana sayansi inaweza kutuambia,matokeo ya force ni nini na inaweza kutabiri kwa kiasi fulani matokeo hayo (not 100%),mfano ni kuruka kwa mnyama ndege angani, nini kinafanya aweze kuruka kwa kasi?,kwa haraka sana? sayansi inajibu mfumo but sio matokeo.
Ndio maana majaribio ya sayansi hufanyika katika "contolled environment" but living organisms do everything without the need of a controlled environment
Back to our spirit,the diference is, a spirit (my own thinking) is a force that has a conscious..meaning,it can control itself.A normal force would pull something or push in a uniform direction,a spirit will reason.Let me give you examples,for instance,sayansi haijaweza kujibu swali la kwa nini tunaota?..au ni nini kinachosababisha usingizi(ile sekunde unayoingia usingizini) au kwa nini tunalala? (ulalaji wa mtu kama mfu) ila inatuambia kwa nini ni muhimu hivyo vitu kutokea.Mfano mwingine ni urithi wa tabia,(i know its genetics) but ikiwa tunaboreshwa na mazingira,kwa nini baadhi ya tabia hubakia hata kizazi na kizazi mfano ufundi wa kitu fulani,ubishi wa familia fulani n.k,au pia the DNA..kwa nini ina muundo ule?inawezaje kubeba taarifa za vizazi hata vizazi kwa kutumia kemikali chache ambazo hata kwenye miamba zipo..what chain reaction caused that? (though science can tell you about the constituents).Mfano wa mwisho ni kuwa na wasiwasi juu ya kitu ambacho hakijatokea bado na baadae huja kutokea,kibongo bongo "machale" example is feelings za mama kwa mtoto ambae yupo mbali nae....
So,to conclude hapo juu ni kwamba,kuna kitu cha ziada ambacho kinachosambabisha matokeo,kwa maisha ya kibinadamu,au yale ya wanyama na mimea.Sijazungumzia vitu vingine (mimea n.k) kwa sababu my spirit is human,but still i cant explain "what tells a plant to bend in darkness to follow the light(despite its hormones,what drives it at first? eyes!?),or what makes them to produce nice fruits or bad fruits)
Kwa sababu ya matokeo haya yanayofanana sana,(and yet they cant be understood fully) kwa nini mimea na vitu vingine hai visiwe na spirit kama sisi?.Kumbuka hapa,tumetoa kabisa ushahidi wa kiimani,other wise uchawi,mizimu... n.k ingeingilia kati :behindsofa:.