Je wapenda kuchorwa jina lako?

Je wapenda kuchorwa jina lako?

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,753
Reaction score
9,575
Hay

waungwana kama kuna mtu anayependa kuchorwa jina lake humu mmu aseme sasa
nami nitamchora kama mimi nilivyojichora hapa ona maneno haya jamani wanajf hayapendezi
si very gudo haya omba kuchorwa sichori bure na kitu kama unacho unanitumia ndipo nakuchora
nina uwezo wa kuchora sura ya mtu bila hata kumtazama kama anatanipa vigezo muhimu vilivyo
mwilini mwake nami nachora kwa hisia ingia hapa uchorwe

ona mfano huu: JINA ORG.jpg

angalia hawa nimewapendelea kama utapenda nawe usisite kutuma details zako nami nakuchora
si unapendeza jamani

karibuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Attachments

  • WATU8.jpg
    WATU8.jpg
    409.7 KB · Views: 77
namaanisha kuchorwa jina lako la hapa mmu na uso wako halisi kama unapenda ungana nami kunipa details za uso wako ulivyo kisha nikuchore je uko tayari chimbuvu?
 
hakuna bei yeyote ile bali tuma details zako za mwili wako ulivyo utachorwa kama ulivyo kwa hisia tu utajiona
unakaribishwa TANMO
 
Last edited by a moderator:
Nitumie basi mamito kama utapenda hakuna bei yeyote ila lazima awe na mkufu wa kijogoo ndio dau lake hilo kama unalo tuma via ndege ya fastjet na tuma na details zake atachorwa tu kwa hisia za mbali upo hapo madame marejesho?
 
Last edited by a moderator:
Hay

waungwana kama kuna mtu anayependa kuchorwa jina lake humu mmu aseme sasa
nami nitamchora kama mimi nilivyojichor

a hapa ona maneno haya jamani wanajf hayapendezi
si very gudo haya omba kuchorwa sichori bure na kitu kama unacho unanitumia ndipo nakuchora
nina uwezo wa kuchora sura ya mtu bila hata kumtazama kama anatanipa vigezo muhimu vilivyo
mwilini mwake nami nachora kwa hisia ingia hapa uchorwe

ona mfano huu:View attachment 75754

angalia hawa nimewapendelea kama utapenda nawe usisite kutuma details zako nami nakuchora
si unapendeza jamani

karibuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
I would love to
 
hivi kwanini wewe umeamua kudelete hii kitu una matatizo ya kisaikolojia nini? Arushaone
 
Last edited by a moderator:
hata avatar nachora ndugu yangu mm ni mtu wa ajabu sana kama nawe unataka kuchorwa sema na nipe details zako zihusuzo face na body yako nzima nitakuchora unapenda? Mungi
 
Last edited by a moderator:
sasa mbona hajakuchora au wewe ni msanii nini Husninyo
 
Last edited by a moderator:
sasa wewe ndugu yangu mbona sijaona hiyo picha yako kwa Mungi haa bhana@Filipo
 
hata avatar nachora ndugu yangu mm ni mtu wa ajabu sana kama nawe unataka kuchorwa sema na nipe details zako zihusuzo face na body yako nzima nitakuchora unapenda? Mungi

Sawa nichoree avatar, kuwa makini usijechora kama ile ya Ritz au Rejao
 
Last edited by a moderator:
oky niache kwa muda sasa nianze kazi ila mbona hujatuma mkufu wa kijogoo kwani bila dau inakiuwa vigumu lakini acha nifanye kwa wewe mkaka ondoa shaka inakuja hivi punde
 
sasa mbona hajakuchora au wewe ni msanii nini Husninyo

mimi si msanii lady... amesema ana oda nyingi. nipo kwenye foleni hapa. unaweza kuchora pesa? nicholee milioni moja angalau nifarijike kwa kuiangalia.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom