Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Nyani,
Ukisoma utaona sija entertain kabisa swala la kuibadili CCM ili iwe safi iendelee kutawala.Ninachosema ni kuwa instituonal change is imminent, regardless of who is in power, kwa hiyo tukibadili katiba sasa hivi siyo tunabadili katiba ili tui reform CCM, tutabadili katiba ili mtu yeyote atakayekuja kuwa in power abanwe na katiba explicitly.Kwamba mambo ya kupiga midili mikubwa mikubwa bila kushirikisha wawakilishi wa wananchi yakome, mambo ya kupeleka majeshi Comoro bila ridhaa ya wabunge yakome.This way hata jinsi ya kuwang'oa CCM itakuwa rahisi kwa sababu CCM washazoea za kunyonga (kuiba hela za uchaguzi BOT ETC) ikija system fair and square itakayokata mirija yao watatapatapa.
Lakini sisi tunaongelea kuing'oa CCM kabla ya kuikatia mirija yake inayoipa kiburi, hatuwezi kufanikiwa.
Ndiyo maana nasema institutional change inabidi ziende simultaneously na regime change au zitokee kabla ya regime change, kwa sababu regime yenyewe inaelea over the foundation of these lax institutions, usipoondoa foundation hiyo hata hiyo regime change itakuwa ndoto.
Si zitapigwa simu tu tume ya uchaguzi kama alivyopiga Nyerere na matokeo yatageuzwa hata kama upinzani umeshinda?
Lakini ukiwa na sheria zinazozuia rais kuteua Tume ya Uchaguzi, ukiwa na ma judge wenye integrity ambao hawatamuogopa rais, then thats a big step towards regime change.
Alah! We are on the same page. I personally I've had it up to here and I want both of them to take place simultaneously (though it may be a tall order)....I just can't stand them anymore....I just want them to go away...