Warusi wengi wameanza kukimbia nchi yao baada ya Rais Putin kutangaza rasmi kuandikisha wanajeshi wa akiba ili kupambana na Ukraine. Tiketi zote za ndege zimenunuliwa kwa hofu kuwa mipaka inaweza kufungwa na hivyo kupelekea kushindwa kutoroka vita.
Putin ametangaza kuanza vita vikali kuipiga Ukraine huku akizionya nchi za magharibi kuwa ina silaha kali na za kisasa za maangamizi ambazo wao hawana.
Hata hivyo NATO imemkebehi Putin kuwa alifanya vibaya hesabu zake kwa kuivamia Ukraine na kwamba atajutia uamuzi wake.