Je Warusi wamekosa uzalendo?

Je Warusi wamekosa uzalendo?

Putin aje bongo achukue vijana ana mashabiki maandazi wengi sana ambao hata ukiwauliza Putin anapigania nini Ukraine hawana majibu....
Na hiyo ndo ajabu!!
Warusi wanampinga Putin kwa kuanzisha vita ya kijinga, Lakini ajabu kuna waTz wanaunga mkono 🤔
 
Si unajua kichaa akishafikia mahali akaona anaaibika anaona bora tufe wote

Mimi nina wasiwasi Putin atatumia nuclear kama karata zake zote zikimuishia
Generals wake hawatakubali... Akiachia Nukes maana yake madhara yatawafika wao pia, afu retaliatory itapelekwa Moscow
 
Na kuna senior mmoja serikalini kaonya ikiendelea hivi watafunga mipaka kabisa wanaume wasitoroke kwa barabara. Na zaidi ya watu 800 wamekamatwa kwa kuandamana kupinga mobilization
Hongo itatumika sana vijana na wanaume kutoroka
 
Yaani huwa anatishia kutumia silaha za nyuklia kama vile anazo peke yake. Anasahau kuwa zilitengezwa na kutumiwa kwa mara ya kwanza na Marekani.
Mkuu Kichuguu kwanza habari ya siku nyingi? Ma Legends mmekuwa adimu sana jukwaani siku hizi.

Huyu Putin anadhani kwamba akitishia nyuklia itawaogopesha wanaoisaidia Ukraine, lakini watu hawaogopi, wanazidi kutoa support na inavyoonekana saa hizi ni maji ya shingo, alikosea calculation kuingia kwenye hii vita.
 
Asante ndugu yangu kwa kunikumbuka.

Putin anasumbuliwa na tatizo la kulewa madaraka. Alishakaa madarakani miaka 22 na hivyo kulewa madaraka kiasi kuwa anafikia kuwa ni tishio kwa watendaji wake; kwa hiyo wafuasi wake wamekuwa wanamongopea kuwa wana jeshi imara sana kwa vile hayo ndiyo anyotaka kusikia lakini kumbe jeshi lake kwa sasa hivi limechoka sana.

Huyu Spy Chef wake alipjaribu kumwonya kuwa kuivamia Ukraine litakuwa kosa kubwa sana, yeye alimdharau na kumtishia tu.

Ndio tatizo la madikteta, wanataka kusifiwa tu.

By the way mkuu, atafanikiwa kuimega Luhansyk kama alivyofanya Crimea au Ukraine watapambana kuzuia?
 
Warusi wanakimbia nchini mwao,Bei ya ticket Daraja la Economy toka Urusi mpaka Turkey& Dubai imefika $9000 (Sawa na TSH 20m) kumbuka hiyo ni ECONOMY CLASS.
 
Attachments

  • Screenshot_2022-09-22-21-55-14-451_com.google.android.youtube.jpg
    Screenshot_2022-09-22-21-55-14-451_com.google.android.youtube.jpg
    719.8 KB · Views: 1
Na kuna senior mmoja serikalini kaonya ikiendelea hivi watafunga mipaka kabisa wanaume wasitoroke kwa barabara. Na zaidi ya watu 800 wamekamatwa kwa kuandamana kupinga mobilization
Hahahahahahaha waleteeeeeeeee
 
Back
Top Bottom