Je Warusi wamekosa uzalendo?

Je Warusi wamekosa uzalendo?

.

Watu washaanza kujitokeza kwa wingi,habari za kukimbia ni propaganda za magharibi
Warusi wengi wameanza kukimbia nchi yao baada ya Rais Putin kutangaza rasmi kuandikisha wanajeshi wa akiba ili kupambana na Ukraine. Tiketi zote za ndege zimenunuliwa kwa hofu kuwa mipaka inaweza kufungwa na hivyo kupelekea kushindwa kutoroka vita.

Putin ametangaza kuanza vita vikali kuipiga Ukraine huku akizionya nchi za magharibi kuwa ina silaha kali na za kisasa za maangamizi ambazo wao hawana.

Hata hivyo NATO imemkebehi Putin kuwa alifanya vibaya hesabu zake kwa kuivamia Ukraine na kwamba atajutia uamuzi wake.
 
Unadhani US hana nuclear? hahaha, hata itokee nini Russia hawezi hata kujaribu kuilenga marekani kwa nuclear, sema tu wao uhamasisha kustop mashambulizi yanayohusisha nuclear weapons, ni mbwembwe za putin, soon mtaona wanakaa mezani na kuyamaliza na hatoichukua ukraine.
Kwanini hawezi ni swala la kubonyeza kidude chekundu Tu.
 
Si unajua kichaa akishafikia mahali akaona anaaibika anaona bora tufe wote

Mimi nina wasiwasi Putin atatumia nuclear kama karata zake zote zikimuishia

Yule mweu wammalize haraka kabla hajajiua na kuwauwa wengine.
 
Sakata la Russia vs Ukraine Deutsche Welle hawako neutral wako biased sana na wanatumia chombo chao kwa propaganda kama ilivyo vyombo vyote vya magharibi na hata hata Russia na wanaowaunga mkono vyombo vyao havipo neutral pia.

Ni ukweli wanakimbia. Tiketi za uturuki zimejaa. Watu wanakimbia, maana yule mwehu wamemwachia nchi afe mwenyewe.
 
Warusi wengi wameanza kukimbia nchi yao baada ya Rais Putin kutangaza rasmi kuandikisha wanajeshi wa akiba ili kupambana na Ukraine. Tiketi zote za ndege zimenunuliwa kwa hofu kuwa mipaka inaweza kufungwa na hivyo kupelekea kushindwa kutoroka vita.

Putin ametangaza kuanza vita vikali kuipiga Ukraine huku akizionya nchi za magharibi kuwa ina silaha kali na za kisasa za maangamizi ambazo wao hawana.

Hata hivyo NATO imemkebehi Putin kuwa alifanya vibaya hesabu zake kwa kuivamia Ukraine na kwamba atajutia uamuzi wake.
putin ni kanumba mpya ss kitkacho mkuta Ukraine

putin mtu kazi anakagaw dozi km kachukuliwa mke wake na Ukraine
 
Msichokijua kuwa putin anawachezea west mind game kwenye nukes narudia hakuna nchi yoyote siyo ulaya wala marekani mwenye uwezo wà kuthubutu kuingia direct ukraine kupambana na russia hakuna kiongozi atakayekubali nchi yake kuwa majivu kwa ajili ya ukraine

Yani urusi arushe nuclear Marekani halafu marekani amuache tu?. Tena bahati mbaya URUSI sehemu ya maana ni Moscow pekee.
 
putin ni kanumba mpya ss kitkacho mkuta Ukraine

putin mtu kazi anakagaw dozi km kachukuliwa mke wake na Ukraine

Ameshindwa kugawa mpaka amekimbia ndio aje agawe Tena . Kutoka siku tatu Hadi kukimbia ni aibu Sana. Aliidharau Ukraine Sasa yamemtokea puani.
 
Warusi wengi wameanza kukimbia nchi yao baada ya Rais Putin kutangaza rasmi kuandikisha wanajeshi wa akiba ili kupambana na Ukraine. Tiketi zote za ndege zimenunuliwa kwa hofu kuwa mipaka inaweza kufungwa na hivyo kupelekea kushindwa kutoroka vita.

Putin ametangaza kuanza vita vikali kuipiga Ukraine huku akizionya nchi za magharibi kuwa ina silaha kali na za kisasa za maangamizi ambazo wao hawana.

Hata hivyo NATO imemkebehi Putin kuwa alifanya vibaya hesabu zake kwa kuivamia Ukraine na kwamba atajutia uamuzi wake.
Hata mimi nawaunga mkono. Putin aende mwenyewe vitani🤣
 
We unaona sawa marekani akubali nchi yake ipigwe nuclear kwaajili ya kuitetea ukrein viongozi watakuwa na utindio wa ubongo mzozo huu kilichobakia itumike democrasia kumaliza
Mmh! Hapa ndio sielewi.

Vita ni Urusi na Ukraine, ila ikifika kwenye nuclear anapigwa Marekani! Hii imekaaje?
 
Wale warussi wa buza, mikoroshini, forest, sabasaba, mazimbu, kihonda, engutoto, mianzini, sanawari sasa ni wazi mnakaribishwa Russia
 
Chezea kitu kizito kinachoitwa HIMARS HAMNA KIUMBE CHOCHOTE KISICHOOGOPA HIMARS. Poor RussianView attachment 2365009View attachment 2365011
Screenshot_2022-09-16-17-52-04-119_org.wikipedia.jpg
View attachment 2365010
View attachment 2365013View attachment 2365017
 
[emoji298]FLASH #Russia [emoji635]: En Tchétchénie, les hommes aptes à la mobilisation décrétée par le PDT #VladimirPutin se ruent dans les bureaux d'enregistrement et d'enrôlement militaire.
#Donbass #Chechnya #Crimea #Kharkov #Kharkiv #Kherson #Zaporizhzhia #Donestk #Kupyansk #Lugansk #Odessa https://t.co/EcbnL5GzA6.

Nyie mnapiga umbea huko URUSI idadi iliyojitokeza kwa siku ya leo tu inafika watu elfu 20
 
Kauri ya NATO ipo sahihi, ila inachochea zaidi hasira ya blaza Putin, ko hapa wakizidi kumchokonoa ipo siku ataachia nuclear kweli maana hajaanza leo kutoa tishio hilo. Acha iendelee kunyesha tuone panapo vuja😎😎😎
Hawezi tumia nukes au sumu, maana marafiki zake watajitenga naye...
 
Tiketi za ndege kusafiri nchi ambazo ni VISA free kwa Russia mfano Uturuki ziko sold out. Nauli ya ndege kwenda nje imepanda mara mbili leo leo tangu partial mobilization ianze. Hotuba ilisema ni partial mobilization ila hati ya maandishi iliyotolewa haimaanishi hivyo.

Barabara ya kuelekea mpaka wa Finland ina foleni. Finland haijakaza sana kwa Warusi wageni, wale raia jirani wanaweza jaribu kama wana vigezo.

Wiki iliyopita msemaji wa Putin alisema hakuna mobilization, leo imetangazwa. Hotuba ilibidi itolewe jana, haikutolewa bila sababu ikatolewa leo. Sintofahamu ni nyingi
Wanadai decree inasema mobilization itahusisha hadi watu 1mil...

Wanafunzi nao watasukumiwa humo ndani
 
Back
Top Bottom