- Thread starter
- #41
BBC, Al Jazeera na CGTN wote wametoa taarifa zinazofanana!Sakata la Russia vs Ukraine Deutsche Welle hawako neutral wako biased sana na wanatumia chombo chao kwa propaganda kama ilivyo vyombo vyote vya magharibi na hata hata Russia na wanaowaunga mkono vyombo vyao havipo neutral pia.
Tatizo Timu Putin hawaamini kinachotokea!
Poleni sana!