Leta uthibitishoWarusi wengi wameanza kukimbia nchi yao baada ya Rais Putin kutangaza rasmi kuandikisha wanajeshi wa akiba ili kupambana na Ukraine. Tiketi zote za ndege zimenunuliwa kwa hofu kuwa mipaka inaweza kufungwa na hivyo kupelekea kushindwa kutoroka vita.
Putin ametangaza kuanza vita vikali kuipiga Ukraine huku akizionya nchi za magharibi kuwa ina silaha kali na za kisasa za maangamizi ambazo wao hawana.
Hata hivyo NATO imemkebehi Putin kuwa alifanya vibaya hesabu zake kwa kuivamia Ukraine na kwamba atajutia uamuzi wake.
Kauri ya NATO ipo sahihi, ila inachochea zaidi hasira ya blaza Putin, ko hapa wakizidi kumchokonoa ipo siku ataachia nuclear kweli maana hajaanza leo kutoa tishio hilo. Acha iendelee kunyesha tuone panapo vujaπππWarusi wengi wameanza kukimbia nchi yao baada ya Rais Putin kutangaza rasmi kuandikisha wanajeshi wa akiba ili kupambana na Ukraine. Tiketi zote za ndege zimenunuliwa kwa hofu kuwa mipaka inaweza kufungwa na hivyo kupelekea kushindwa kutoroka vita.
Putin ametangaza kuanza vita vikali kuipiga Ukraine huku akizionya nchi za magharibi kuwa ina silaha kali na za kisasa za maangamizi ambazo wao hawana.
Hata hivyo NATO imemkebehi Putin kuwa alifanya vibaya hesabu zake kwa kuivamia Ukraine na kwamba atajutia uamuzi wake.
Source of information au umetunga kutoka usingizi... unaota?Warusi wengi wameanza kukimbia nchi yao baada ya Rais Putin kutangaza rasmi kuandikisha wanajeshi wa akiba ili kupambana na Ukraine. Tiketi zote za ndege zimenunuliwa kwa hofu kuwa mipaka inaweza kufungwa na hivyo kupelekea kushindwa kutoroka vita.
Putin ametangaza kuanza vita vikali kuipiga Ukraine huku akizionya nchi za magharibi kuwa ina silaha kali na za kisasa za maangamizi ambazo wao hawana.
Hata hivyo NATO imemkebehi Putin kuwa alifanya vibaya hesabu zake kwa kuivamia Ukraine na kwamba atajutia uamuzi wake.
Hata hivyo NATO imemkebehi Putin kuwa alifanya vibaya hesabu zake kwa kuivamia Ukraine na kwamba atajutia uamuzi wake.[emoji3064][emoji2955][emoji3064]Warusi wengi wameanza kukimbia nchi yao baada ya Rais Putin kutangaza rasmi kuandikisha wanajeshi wa akiba ili kupambana na Ukraine. Tiketi zote za ndege zimenunuliwa kwa hofu kuwa mipaka inaweza kufungwa na hivyo kupelekea kushindwa kutoroka vita.
Putin ametangaza kuanza vita vikali kuipiga Ukraine huku akizionya nchi za magharibi kuwa ina silaha kali na za kisasa za maangamizi ambazo wao hawana.
Hata hivyo NATO imemkebehi Putin kuwa alifanya vibaya hesabu zake kwa kuivamia Ukraine na kwamba atajutia uamuzi wake.
Hiyo nuclear anayo peke yake?Kauri ya NATO ipo sahihi, ila inachochea zaidi hasira ya blaza Putin, ko hapa wakizidi kumchokonoa ipo siku ataachia nuclear kweli maana hajaanza leo kutoa tishio hilo. Acha iendelee kunyesha tuone panapo vujaπππ
Putin yeye si awe mstari wa mbeleHata hivyo NATO imemkebehi Putin kuwa alifanya vibaya hesabu zake kwa kuivamia Ukraine na kwamba atajutia uamuzi wake.[emoji3064][emoji2955][emoji3064]
Radio Deutsche Welle kipindi cha dunia yetu leo jioni.Source of information au umetunga kutoka usingizi... unaota
Unazungumzia Mkia Fc au?usibaki nyuma kama mkia!
Tena mwambie akiishia kusikiliza redio wasafi pekee ataachwa na mengiRadio Deutsche Welle kipindi cha dunia yetu leo jioni.
Nakushauri na wewe uwe unapata current affairs kutoka radio za kimataifa usibaki nyuma kama mkia!
Hana huo upepo huyo kiaziKauri ya NATO ipo sahihi, ila inachochea zaidi hasira ya blaza Putin, ko hapa wakizidi kumchokonoa ipo siku ataachia nuclear kweli maana hajaanza leo kutoa tishio hilo. Acha iendelee kunyesha tuone panapo vujaπππ
Kremlin patamu! Kumbuka alilazimisha kurudi mara ya pili baada ya muda wake kikatiba kuisha na kubadilisha katiba ili aendelee kuwasulubu Warusi!Putin yeye si awe mstari wa mbele
Kazi kuwasakizia wenzake
Huku yeye katulia kremlin
Ova
Putin miscalculatedHata hivyo NATO imemkebehi Putin kuwa alifanya vibaya hesabu zake kwa kuivamia Ukraine na kwamba atajutia uamuzi wake.[emoji3064][emoji2955][emoji3064]
Timu Putin mnapumulia mashine hivi sasa!Unaumia ukiwa wapi?
Nimeipenda sana kebehi hii ya NATO kama itakgeuka kuwa ya kweli.Hata hivyo NATO imemkebehi Putin kuwa alifanya vibaya hesabu zake kwa kuivamia Ukraine na kwamba atajutia uamuzi wake
Putin ameshaingia kwenye 18 hapa anaviziwa mchina tu.Nimeipenda sana kebehi hii ya NATO kama itakgeuka kuwa ya kweli.