antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Na hiyo ndo ajabu!!Putin aje bongo achukue vijana ana mashabiki maandazi wengi sana ambao hata ukiwauliza Putin anapigania nini Ukraine hawana majibu....
Hakuna atayeenda kufa kifala, wote watabakia hapa tuPutin aje bongo achukue vijana ana mashabiki maandazi wengi sana ambao hata ukiwauliza Putin anapigania nini Ukraine hawana majibu....
Mchina keshasoma upepo...Putin ameshaingia kwenye 18 hapa anaviziwa mchina tu.
Generals wake hawatakubali... Akiachia Nukes maana yake madhara yatawafika wao pia, afu retaliatory itapelekwa MoscowSi unajua kichaa akishafikia mahali akaona anaaibika anaona bora tufe wote
Mimi nina wasiwasi Putin atatumia nuclear kama karata zake zote zikimuishia
Hongo itatumika sana vijana na wanaume kutorokaNa kuna senior mmoja serikalini kaonya ikiendelea hivi watafunga mipaka kabisa wanaume wasitoroke kwa barabara. Na zaidi ya watu 800 wamekamatwa kwa kuandamana kupinga mobilization
Watapokelewa maana wanampinga dikteta PutinWanaenda wapi.....si dunia imewatenga hadi visa wananyimwq
Putin yeye si awe mstari wa mbele
Kazi kuwasakizia wenzake
Huku yeye katulia kremlin
Ova
Wanapinga hiyo vita ya rais wao Putin...Sasa c bora wende wakafilie zao huko kwenye SVO wakitetea kuulinda na kuupignia usalama wa taifa lao
Mkapigane vita huko Ukraine kumtetea kipenzi chenu Putin🤣Atupeleke wap mie mrusi wa hapa jf
Naomba tuheshimiane MKUU [emoji23][emoji16][emoji23][emoji16][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani huwa anatishia kutumia silaha za nyuklia kama vile anazo peke yake. Anasahau kuwa zilitengezwa na kutumiwa kwa mara ya kwanza na Marekani.Hiyo nuclear anayo peke yake?
Mkuu Kichuguu kwanza habari ya siku nyingi? Ma Legends mmekuwa adimu sana jukwaani siku hizi.Yaani huwa anatishia kutumia silaha za nyuklia kama vile anazo peke yake. Anasahau kuwa zilitengezwa na kutumiwa kwa mara ya kwanza na Marekani.
Asante ndugu yangu kwa kunikumbuka.Mkuu Kichuguu kwanza habari ya siku nyingi? Ma Legends mmekuwa adimu sana jukwaani siku hizi.
Huyu Putin anadhani kwamba akitishia nyuklia itawaogopesha wanaoisaidia Ukraine, lakini watu hawaogopi, wanazidi kutoa support na inavyoonekana saa hizi ni maji ya shingo, alikosea calculation kuingia kwenye hii vita.
Ndio tatizo la madikteta, wanataka kusifiwa tu.Asante ndugu yangu kwa kunikumbuka.
Putin anasumbuliwa na tatizo la kulewa madaraka. Alishakaa madarakani miaka 22 na hivyo kulewa madaraka kiasi kuwa anafikia kuwa ni tishio kwa watendaji wake; kwa hiyo wafuasi wake wamekuwa wanamongopea kuwa wana jeshi imara sana kwa vile hayo ndiyo anyotaka kusikia lakini kumbe jeshi lake kwa sasa hivi limechoka sana.
Huyu Spy Chef wake alipjaribu kumwonya kuwa kuivamia Ukraine litakuwa kosa kubwa sana, yeye alimdharau na kumtishia tu.
Hahahahahahaha waleteeeeeeeeeNa kuna senior mmoja serikalini kaonya ikiendelea hivi watafunga mipaka kabisa wanaume wasitoroke kwa barabara. Na zaidi ya watu 800 wamekamatwa kwa kuandamana kupinga mobilization
Huko ni kuwatafutia kifo, nothin else, nao wamegoma kufa kizembe.Sasa watu km hao wakulazimisha ukiwapeleka front line kuna morale kweli hapo au ndo unawapeleka wakafe tu
Hata Crimea atanyang'anywaNdio tatizo la madikteta, wanataka kusifiwa tu.
By the way mkuu, atafanikiwa kuimega Luhansyk kama alivyofanya Crimea au Ukraine watapambana kuzuia?
Hahahahahaaa, mkuu umeona mbali. Kama hii vita itamdhoofisha kabisa, huo uwezekano upo.Hata Crimea atanyang'anywa
Wengi wayahudi hao wanarudi kwao IsraelWatapokelewa maana wanampinga dikteta Putin