Je wasio julikana nguvu yao imemzidi Raisi Samia?

Je wasio julikana nguvu yao imemzidi Raisi Samia?

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Tunaona wanafanya vitu ambavyo havina maana je Raisi amesha zidiwa nguvu au ni yeye anawatuma?
 
Mheshimiwa rais akemee mambo ya watu wasiojulikana ikiwemo jeshi la polisi kutesa, kuumiza na kuua watu wasio na hatia.
MUNGU HAJARIBIWI.
Hawezi kukemea kwa sababu yeye ndiye anawatuma kufanya hivyo,huyu mzenji ni katili sana hadi shetani mwenyewe anashika mdomo.
 
..Polisi wamezidiwa.

..huu ni mwaka 9 tangu wasiojulikana waanze ku terrorize wanaharakati, na jeshi limeshindwa kuwadhibiti.

..
 
Nukuu ya Nyerere:Uraisi ni sawa kula nyama mtu kuzidi kitimoto kinacho pingwa na dini yake
 
Back
Top Bottom