Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
MtihaniHawana kaz ya kufanya
Ehee wewe upande wako unasema gani???? Mbona hulii Wala hucheki Nini mbayaUkupita Facebook, Twitter, Instagram au kwenye usafiri wa umma utakuta watu wako wanabishana nani atakuwa mshindi na kufurahia kipigo anachokipata Mrusi au Ukrainian.
Je, ni umaskini wa akili au mali ndio hupelekea watu kushangilia mauaji?
Kuna uwezekano kama mbongo angemiliki nyuklia dunia ingepotezwa ghafla.
Hii ndo sababu.Tanzania kuna lowest IQ Afrika, mambo yanayofanyika hapa kwetu ni too low hata by African standard!
Hata Wewe umeingia kwenye mjadala huu,una akili ndogo au!Hii ndo sababu.
Ahahahaha.Wewe ni mmoja wapo katika kundi hilo , ulianzisha mpk uzi wa kutaka kuwekeana dau na mtu na ukasema Mrusi atapigwa nje ndani.
Stori TU za kawaida mbona niko hapa na matajiri wenzangu ila tunajadili pamoja..nadhani dunia nzima watu wanajadili kwa sababu ndo trending stor kwa Sasa ukizingatia hatuna la uhakika lipi litatokea masaa 24 yajayo...au hujui km watu Wana nuclear la kuilipua dunia nzima tukose wote [emoji3]
Nafikiri ww ndio mjinga na mpumbafu wa akili.Watanzania sio kwamba wanashangilia hiyo vita,Bali wanafuatilia tu kwa ukaribu.Ukupita Facebook, Twitter, Instagram au kwenye usafiri wa umma utakuta watu wako wanabishana nani atakuwa mshindi na kufurahia kipigo anachokipata Mrusi au Ukrainian.
Je, ni umaskini wa akili au mali ndio hupelekea watu kushangilia mauaji?
Kuna uwezekano kama mbongo angemiliki nyuklia dunia ingepotezwa ghafla.
Haya mambo ya ushabiki hayajaanza leo
Vita zote wabongo huwa wanashabikia+ U-team ndani
Ova
hahahaha dahMrusi atapigwa nje ndani
Mbona wao walishangilia mauaji ya Kimbari Rwanda, kwa miezi mitatu watu wanachinjwa kama kuku, uliona Mataifa yenye nguvu duniani yakiingilia kuzuia?Ukupita Facebook, Twitter, Instagram au kwenye usafiri wa umma utakuta watu wako wanabishana nani atakuwa mshindi na kufurahia kipigo anachokipata Mrusi au Ukrainian.
Je, ni umaskini wa akili au mali ndio hupelekea watu kushangilia mauaji?
Kuna uwezekano kama mbongo angemiliki nyuklia dunia ingepotezwa ghafla.