Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
- Thread starter
- #21
Bila shaka wewe unaumwa sonona.Nafikiri ww ndio mjinga na mpumbafu wa akili.Watanzania sio kwamba wanashangilia hiyo vita,Bali wanafuatilia tu kwa ukaribu.Utakumbuka hata vita yetu na Uganda ,namkumbuka baba na ndugu zangu wakubwa walikuwa wanafuatilia kupitia redio mkulima.Utasikia BBC na sauti ya ujerumani wakiongea kwa mbwembwe.Kwamba leo vikosi vya Tanzania vikiwa na vifaru vyenye mizinga vimeiteka Entebe.Mwaka 1990 Sadam Hussein alipoivamia Kuwait taarifa za BBC na VOA na Sauti ya ujerumani zilikuwa nyingi pia.Mwaka 2003 pia vita ya USA na Iraque ilikuwa gumzo.Kabla ya hapo vita ya Iran na Iraque pia ilikuwa gumzo duniani.Vita ya siraha za sumu.Vita ilipiganwa miaka nane.Bomu linapigwa mtu anaoza dak moja.Vita ya USA na Libya pia ilikuwa moto.Wewe unasema wanashangilia au wanafuatilia kujua mshindo ni yupi.Inaonekana haujui kabisa Mambo ya vita.
Kuna kufuatilia na kuna kushangilia.
Huko mitandaoni kuna memes nyingi za dhihaka na kushangilia hii vita.