Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,077
- 4,525
Siku mbili kuanzia Jana Tarehe 20 July 2020, CCM wamekuwa na Kura za Maoni ndani ya Chama chao, kitu pekee katika mchakato huu ni namna ulivovuta hisia za Watanzania bila kujali vyama vyao, Wote tumetega masikio na kufungua macho kuuona wana CCM wataamua nini
Binafasi nawafahamu washindi wa kura za Maoni wa CCM jimbo la Kyela, anayewafahamu wa CHADEMA, ACT na CUF anaweza kutujulisha
Pia chama cha ACT Wazalendo kinatafuta wagombea Ubunge na Udiwani
Mwisho naona kama Malim alikosea kujiunga na ACT labda angeenda CHADEMA