Una IQ ndogo hivi ulipita shule kweli??Ulichoandika ni lawama zisizo za kweli. Je CCM wamefungia uzi ulioko Jamiiforums kuhusu mchakato wa Kura za maoni CHADEMA na ACT, au wamekamata watu wote waliochangia kwenye hizo nyuzi?

Edwin Swale aliyewahi kuwa mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Njombe ameshinda kura za maoni kwa kupata kura 138 kati ya kura 421 kuwa mgombea wa ubunge Jimbo la Lupembe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) huku Jorum Hongoli aliyekuwa akitetea nafasi yake akipata kura 61.Una IQ ndogo hivi ulipita shule kweli??
Maswali mujaarab ila hautapatiwa majibu yake.Hawapendi maswali tata,wanapenda kuitikia NdiyooooMkuu Ccm walizuia vyama kujitangaza na kujulikana, walizima bunge ili wapinzani wasionekanr, wamezuia vyomba vya habari kutangaza au kuonyesha habari za wapinzani, wame wakawamata wapinzani wame waweka mahabusu wengine wako jela, wamewateka, wamewanyonga, Wamewavunja miguu, wengine wamewapiga risasi,
Katika mazingira haya unatakawapinzani wafanyeje?
dogo hoja yako Nini? Unadhani Nani anahangaika na hayo majimbo 300Sasa hao wasaliti hawafiki hata 20 na majimbo yapo zaidi ya 300...