Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,077
- 4,525
Yeah, lakini hushtushwi na namna watu wanazungumzia Uchanguzi wa ndani ya CCM, hata humu ndani UZI wa Uchaguzi wa CCM siku ya leo utafikia page 200 ndani ya masaa 24 wakati wa chadema bado hata page 30 bado zaidi ya wiki, huku wa ACT bado kabisa.Subiri kipenga kipulizwe ndo utajua kwanini magufuli katumia tril 2.4 kuua upinzani bila mafanikio
ACT wanatafuta wagombea Udiwani, unaweza kwendaUsilinganishe CCM na vyama vya msimu
Kwani unaishi wapi? Nchii kushangilia upinzani ni sawa na uhaini, wapinzani wengi wame hibernate wanasubiri muda muafakaYeah, lakini hushtushwi na namna watu wanazungumzia Uchanguzi wa ndani ya CCM, hata humu ndani UZI wa Uchaguzi wa CCM siku ya leo utafikia page 200 ndani ya masaa 24 wakati wa chadema bado hata page 30 bado zaidi ya wiki, huku wa ACT bado kabisa.
Kwa lugha Nyingine Maamuzi ya CCM yanatugusa wengi
Sasa hao wasaliti hawafiki hata 20 na majimbo yapo zaidi ya 300...Watu wanafuatilia wale wasaliti walionunuliwa kwa hela zetu za Kodi baada ya kuunga mkono Juhudi hewa alafu kupitishwa bila Kura za maoni na kubebwa na NEc.
Mimi nawazungumzia wananchi na viongozi wa vyama wakimemo.Kwani unaishi wapi? Nchii kushangilia upinzani ni sawa na uhaini, wapinzani wengi wame hibernate wanasubiri muda muafaka
Ndio yaliobaki!Subiri kipenga kipulizwe ndo utajua kwanini magufuli katumia tril 2.4 kuua upinzani bila mafanikio
Mimi hayanigusi.watu walichofatilia ni wale wasaliti kama wanathamani walioifikiria wanao.kumbe hawana chaoYeah, lakini hushtushwi na namna watu wanazungumzia Uchanguzi wa ndani ya CCM, hata humu ndani UZI wa Uchaguzi wa CCM siku ya leo utafikia page 200 ndani ya masaa 24 wakati wa chadema bado hata page 30 bado zaidi ya wiki, huku wa ACT bado kabisa.
Kwa lugha Nyingine Maamuzi ya CCM yanatugusa wengi
Mkuu Ccm walizuia vyama kujitangaza na kujulikana, walizima bunge ili wapinzani wasionekanr, wamezuia vyomba vya habari kutangaza au kuonyesha habari za wapinzani, wame wakawamata wapinzani wame waweka mahabusu wengine wako jela, wamewateka, wamewanyonga, Wamewavunja miguu, wengine wamewapiga risasi,Mimi nawazungumzia wananchi na viongozi wa vyama wakimemo.
Hujui hili pia linajenga ufahamu wa chama kwa wapiga kura?
Wasaliti waliotia hawafiki 20, kwa nini wawe na uzito huo...Mimi hayanigusi.watu walichofatilia ni wale wasaliti kama wanathamani walioifikiria wanao.kumbe hawana chao
Ulichoandika ni lawama zisizo za kweli. Je CCM wamefungia uzi ulioko Jamiiforums kuhusu mchakato wa Kura za maoni CHADEMA na ACT, au wamekamata watu wote waliochangia kwenye hizo nyuzi?Mkuu Ccm walizuia vyama kujitangaza na kujulikana, walizima bunge ili wapinzani wasionekanr, wamezuia vyomba vya habari kutangaza au kuonyesha habari za wapinzani, wame wakawamata wapinzani wame waweka mahabusu wengine wako jela, wamewateka, wamewanyonga,
Wamewavunja miguu, wengine wamewapiga risasi,
Katika mazingira haya unatakawapinzani wafanyeje?