Mkuu Ccm walizuia vyama kujitangaza na kujulikana, walizima bunge ili wapinzani wasionekanr, wamezuia vyomba vya habari kutangaza au kuonyesha habari za wapinzani, wame wakawamata wapinzani wame waweka mahabusu wengine wako jela, wamewateka, wamewanyonga, Wamewavunja miguu, wengine wamewapiga risasi,
Katika mazingira haya unatakawapinzani wafanyeje?