Je, watendaji wa mitaa/ vijiji au mabalozi wa nyumba 10 wangalitumika kama makarani wa sensa, zoezi la sensa lingalikamilika ndani ya siku moja tu?

Anna Makinda ni old fashioned lady nilijua atashindwa tuu kama alivyo shindwa NHIF ambako amepewa u mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi.
NHIF iliyoanza vizuri sasa hivi imedorora huduma zake na kuwa sio Bima tena
Kawekwa pale kama mwamvuli ili watu wapige pesa vizuri
 
Diploma is the minimum qualification. Degree is the preferable qualification.

Nani kakudanganya kwamba digrii ni over qualification? Wenye digrii wengi sasa hivi wako jobless, wengine ni machinga (aka wajasiliamali), mama ntilie, makonda, mabodaboda nk. Wewe unayejiona ni over qualified utabaki jobless milele!
 
Mkuu niko na expwriwnce na kitu ninacho kisema ..kuna mtu wangu wa karibu kiliwah kumkuta ..aliomba izi positiin akiwa na degree holder aka kabidhiwa barua yake ya maombiuwe u asomaga ata na yale matangazo ya izo position kipengele cha qualification
 
Na wewe acha uongo lini sensa ya anologia (i.e. 2012) ilifanyika kwa siku moja? Mimi nilishiriki na nakumbuka tulifanya hilo zoezi kwa wiki mbili na sio siku moja kama unavyosisitiza..
Wewe ndiye uache uwongo. Sensa ilikuwa inachukua siku moja tu tangia mwanzo. Ilikuwa inafanyika siku ya jumapili, wananchi wakiwa mapumuziko. Enzi za Ngoswe walitumika wanafunzi wa sekondari wakiambatana na mabalozi wa nyumba kumi. Baadaye hadi 2012 wakawa wanatumika waalimu wakiambatana na mabalozi wa nyumba kumi. Ya mwaka huu wametumia vijana waliokosa ajira (jobless) wakiwa peke yao wakitumia vishikwambi, wametumia siku saba lakini mamilioni ya watanzania wameshindwa kuhesabiwa. Tulitegemea hivyo vishikwambi (digital) vingaliwezesha kazi hiyo kufanyiwa faster lakini matokeo yake imekuwa mwendo wa konokono.

Usitake kubisha. Mimi nilikuwa karani wa sensa enzi hizo za Ngoswe na Mazoea, nayafahamu sana mambo haya. Hata mama Makinda anayajua vizuri kwani naye alikuwepo enzi hizo.
 
Mkuu niko na expwriwnce na kitu ninacho kisema ..kuna mtu wangu wa karibu kiliwah kumkuta ..aliomba izi positiin akiwa na degree holder aka kabidhiwa barua yake ya maombiuwe u asomaga ata na yale matangazo ya izo position kipengele cha qualification
Hapo kilichokuwa kinatakiwa ili upate hiyo kazi ni rushwa. Ulipaswa kutafisiri hivyo. Upigaji umesharudi kwa kiasi ya dreamliner, ndugu yangu.
 
Toa hapo wa nyumba kumi.
 
Acha ufala basi mamilioni gani hao unaosema.?hao wajumbe wangeweza kufanya hayo?sensa hii imefanikiwa Kwa [emoji817]% na wote wamehesabiwa.Hao wajumbe wa darasa la sana wangefanya sensa gani?
 
Hapo kilichokuwa kinatakiwa ili upate hiyo kazi ni rushwa. Ulipaswa kutafisiri hivyo. Upigaji umesharudi kwa kiasi ya dreamliner, ndugu yangu.
Iyi ilikuwa enzi za hayati tena enzi zake akiwa on peak
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…