900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
Mithali 22:15 Ujinga umefungwa ndani ya moyo wa mtoto; Lakini fimbo ya adhabu itaufukuzia mbali.Hahaha inaleta maana mkuu, kuna siku tulitembelea hifadhi fulani tukaona sokwe anamchapa mwanae bakora za kutosha😁😁
Tayari una msimamo wako unataka nikupe njia za malezi za nini? We hao watoto wako piga mpaka uwaue au uwatie ulemavu hakuna atayekuuliza.Mpaka Sasa hivi nyie ambao pro-western culture akiwemo na Waziri mwenyewe Bado hamjanipa maelezo yanye mantiki hili kunibadili mtazamo wangu kuhusu viboko.
Haya na wewe hapa hebu tuambie hizo njia mbadala za malezi ni kama zipi?
Mtoto wako wa damu hata usipomchapa ukimuelekeza anakuelewa labda kama umebambikwa watotoKwa nchi yetu Tanzania vipigo kwa watoto inaonekana ni jambo la kawaida sana, na huku baadhi wakipongeza jambo hilo kwa kuona ndio msingi bora wa malezi kwa watoto unaowafanya kuwa na maadili, hofu, kusikiliza na kutekeleza maagizo ya wazazi aidha kwa kutaka au kutokutaka kwa kuogopa kuadhibiwa kwa vipigo.
Kuna baadhi wamekuwa wakijisifu kuwa wao hawacheki na watoto kwani wao ni fimbo mkononi huku wakirejea maandiko kutoka kwenye vitabu vya dini kuwa Usimnyime mtoto mapigo na hivyo kuona kaaa walipewa ruksa ya kuwadunda watoto vilivyo kutoka kwa Muumba wao.
Hali hiyo imekuwa ikifanya watu wanaolea watoto bila kuhusisha vipigo kutuhumiwa kuwa wanawaharibu watoto, wanawadekeza na kwamba wanafata utamaduni wa wazungu ambao hauwezi kufanya kazi kwa watoto wa kiafrika hususani Watanzania, Wazazi wa aina hiyo wamekuwa wakituhumiwa kuzalisha watoto watakaokuja kuwa wa ovyo wasio na maadili wenye matendo mabaya.
Je, watu wote wasio na maadili waliopo ni zao la wazazi ambao hawakuwapiga watoto wao?
Je, hakuna watoto waliopigwa na hawakuwa na maadili licha ya vipigo vikali?
Ni kweli kipigo ndio suluhisho la maadili na usikivu kwa watoto?
Ni kweli hakuna watoto wanaolelewa bila vipigo na kuja kuwa watu wema?
Pamoja na yote wanaosifu vipigo kwa watoto huwa hawataki kabisa kuzungumzia athari hasi ya vipigo hivyo kwa watoto, na pengine hawatambui kuwa zipo. Je, hakuna namna ya kuweza kuwalea watoto bila kuhusisha vipigo?
Pia soma: Je, ni kweli Adhabu ya Viboko inasaidia kuongeza Nidhamu na Uelewa kwa Mtoto?
Ukisikia kufuga watoto ndio kama hivyo yani, mtoto anatakiwa ajimix na wenzie mtaani ajifunze hacks za maisha kama mtoto. Tunakosea sana kuwafungia watoto ndani bila kuwaacha wawe na playtime kitaani. Kama utaona ni shida ruhusu watoto wengine waje kucheza na watoto wako nyumbani hata kwa masaa machache tu.Mazee hii story yako imenikumbusha familia ya Masubo, jamaa alikuwa ni maarufu sana pale Mwanza maana ni miongoni mwa wale Madon wa kwanza kwanza kabisa kufungua maduka ya simu pale Mwanza mjini miaka hiyo ya late 90s.
Huyo jamaa kwanza watoto wake walikuwaga wanasoma Uganda, na wakija likizo hamuwaoni, muda wote wanatembelea kwenye magari tu na hawana muda wa kuchanganyikana na watoto wenzie wa pale mitaani... Yaani walikuwa wanaishi maisha Fulani hivi Yale ya upper-class, yaani maisha ambayo kwa miaka ile sisi wengine tulikuwa tunayaona kwenye runinga tu.
Mwanzoni mwa miaka ya 2000s ukaanza uvumi kwamba Masubo tayari ameshaukwaa na pia ana cancer ya damu na Kila bada ya miezi minne alikuwa anaenda kubadilishiwa/kuongezewa Damu huko bondeni kwa Madiba... Wala hata hakuchukua round akakata moto kwenye 2005 hapo na msiba wake uliudhuriwa na watu Kibao mpaka wabunge akina Diaollo(kwa wakati huo).
Sasa sikilizia watoto wake walivyoanza kuishi kwa kutaabika baada ya kifo Chake.... Picha linaanza madogo wote wakarudishwa kusoma shule za hapa hapa bongo Tena zile private schools za bei nafuu..
Kabla mzee wao hajafa walikuwaga hawali chakula kilicholala, lakini baada ya mzee kudanja wakaanza kula mpaka dagaa, tukaanza kuwaona wanapanda na Dala Dala ***** zao.
Maisha yaliwapiga sana wale watoto na walikuwa ni mandina kweli kweli maana ujanja ujanja wa mitaani hawakuwa nao, kwa sababu walielewa maisha ya geti Kali Yale ya kudekezwa dekezwa.
Kwa ufupisho tu mara ya mwisho niliskia mtoto wake mmoja wa kike ni Malaya wa kutupwa anauza uchi mgodini huko Geita na mwingine wa kiume ni fundi simu... Siku hizi nyumba yao imekuwa kama jengo la makuumbusho imechoka kweli.
Haya matoto yanayolelewa kimayai mayai wazazi wao wakiondoka huwa wanateseka na kuishi maisha ya ovyo sana, ya kuonewa kupuuzwa.
Ndio jibu gani Sasa hili unanipa?? Kwani ukinijibu hapa halafu nikaamua Mimi mwenyewe niifuate hiyo njia yako ya kisasa ya malezi au nibaki na hivi ninavyoamini Kuna tatizo???Tayari una msimamo wako unataka nikupe njia za malezi za nini? We hao watoto wako piga mpaka uwaue au uwatie ulemavu hakuna atayekuuliza.
Wazazi wengi wa kibongo hasa Hawa ambao Wana vimaisha maisha wanaonaga kumfungia mtoto geti muda wote na kumjazia makololo Kibao ya kuichezea ndio namna sahihi ya kumkuza mtoto.... Huwa wanaona mtoto wao akijichanganya na madogo wengine hasa wanaotoka familia za kikayumba ni kuwaweka watoto wao kwenye risk ya kuvuta bangi na kujiingiza kwenye tabia nyingine za ajabu ajabu.Ukisikia kufuga watoto ndio kama hivyo yani, mtoto anatakiwa ajimix na wenzie mtaani ajifunze hacks za maisha kama mtoto. Tunakosea sana kuwafungia watoto ndani bila kuwaacha wawe na playtime kitaani. Kama utaona ni shida ruhusu watoto wengine waje kucheza na watoto wako nyumbani hata kwa masaa machache tu.
Inawezekana wewe ni product ya kupigwa sana utotoni maana 'violence breeds violence'.Hivi umenilewa lakini swali langu nililokuuliza?? au umekimbilia kunijibu tu Tena kwa maelezo yako Yale Yale ambayo nimeshakwambia hayana mantiki yoyote?
Ngoja nijaribu kukuuliza kwa mara nyingine Tena kwa lugha ambayo pengine ndio walioitumia wazazi wako kukulea.
Aside spanking and taming what are other possible measures which are more corrective and effective can be taken in enforcing discipline to stubborn kids??? I need a very reasonable answer which doesn't only flow with your progressive ideas but it also align with reality of life of an average tanzanian parents.
NAungana na wewe.Watoto wengi waliolelewa Kwa vipigo hawana maadili . wazazi wale wakali , wazee wakufoka foka wametoka 0-0 hawajafanikiwa kuandaa kizazi bora
Kuna njia za kulea mtoto ambazo zinaweza kumfanya akawa na Utii. Heshima na maadili mazuri.
Mtoto mfanye awe na usikivu mzuri na mpatie na EI
Bro wazungu na jamii nyingne sio kwamba hakuna wezi, ni sheria zao ndo ziko vzuri znawabana sana so mtu akifikria kuiba au kubaka….Adhabu zao ni kali sana.Waafrica na wazungu
Kuhusu maadili hatuwafikii
Ebu tazama tu viongozi wetu wanaiba mpaka unaogopa sasa unajiuliza maadili ya MTU mweusi ni yapi hayo
Sisi ni wahuni Sana hatuna maadili yoyote
Tumebaki kusema kuwa hatufanyi ushoga basi hayo ndo maadili
Wewe akili huna na shenzy kabisa.Inawezekana wewe ni product ya kupigwa sana utotoni maana 'violence breeds violence'.
Nakazia😄 🤣
Hii sasa vita.
Mbona makasiriko ndugu yangu.
Usipige mtoto ndugu unamuonea tu, kama ni kukosea hata wewe unakoseaga, kama ni kupiga basi mpige mtu alie size yako mf; bosi wako, konda wa daladala ili upate matokeo sawa.
Halafu unapokua unapiga mtoto mara nyingi huwa unakua kwenye hali ya hasira, hivyo hata mapigo utakayompa yatakua ni makali ili umalize hasira na sio kufundisha..
Kaa chini zungumza na mtoto, mwambie wazi alipokosea na umpe maelekezo/usaidizi, yaani mtoto mwenyewe atakua mwelewa sana mpaka utashangaa(hasa kama ulianza nae tangu utoto)
View: https://youtu.be/CejhQC9hUO8?si=x2lpn6tgnNu_Qocp
Angalia hiyo video halafu jiulize lingekua dingi la kibongo hapo, huyo mtoto angekula mambata tu, kumbe ni ishu ndogo mtoto unaongea nae anakuelewa
View: https://youtu.be/2vs0A56HSHU?si=B5cI3lQhodANcfG9
Wenzako wanaanzaga tangu umri huu.
Mtoto anaongea mambo hata hayaeleweki lakini dingi anasapoti
Wewe akili huna na shenzy kabisa.
Unaona Sasa madhara ya kulelewa kama broiler unavyokuja kuwa na akili za kindezi ukubwani???
Nakuuliza swali lenye mantiki, badala ya kujibu kimantiki kama mtu mwenye akili timamu ila wewe unaleta mihemko na kuandika upuuzi hapa?? Halafu ndio unajinasibu kwamba eti umepitia malezi sahihi??
Mtu aliyepitia malezi sahihi hawezi kuwa na ubongo dhaifu kiasi hiki kama wewe, wewe hicho kichwa chako kitakuwa kimejaa kiburi,madeko,makamasi na mafuta ya chips...
AKILI HUNA BLOILER WEWE
I believe what you've written is the best of you. Congratulations for this roaring achievement!Wewe akili huna na shenzy kabisa.
Unaona Sasa madhara ya kulelewa kama broiler unavyokuja kuwa na akili za kindezi ukubwani???
Nakuuliza swali lenye mantiki, badala ya kujibu kimantiki kama mtu mwenye akili timamu ila wewe unaleta mihemko na kuandika upuuzi hapa?? Halafu ndio unajinasibu kwamba eti umepitia malezi sahihi??
Mtu aliyepitia malezi sahihi hawezi kuwa na ubongo dhaifu kiasi hiki kama wewe, wewe hicho kichwa chako kitakuwa kimejaa kiburi,madeko,makamasi na mafuta ya chips...
AKILI HUNA BLOILER WEWE