Je, watoto watanichukia

Je, watoto watanichukia

........haya mashauri ya ndoa yanayoletwa humu huwa inakuwa ngumu kumjaji au kutoa ushauri kutokana na kwamba ni ya upande mmoja.......usikute tungepata maelezo yake tungeshangaa kwa nini bado yupo na wewe hadi muda huu, Sasa Kwa kuwa wewe ndo umeleta hoja ngoja tuassume tatizo analo wife.......Sasa basi kitendo anachofanya mkeo si kizuri kinakuharibia future kwenye bond yako na watoto, hapo anajaribu ku-sympaththize na watoto ionekane unamuonea kupita kiasi, na watoto wanajifunza vizuri Kwa vitendo.....mkija achana hutaona faida ya watoto watamjali mama na kauli yao hakuna kama mama, so fanya ufanyavyo hakikisha mambo yenu ya kugombana watoto hawahusishwi Kwa namna yoyote.......au kama vipi akimaliza kuwakuwakumbatia watoto na wewe wakumbatie then Lia hadi kamasi zitoke.......ndio maana hakuna namna Sasa.....
Mkuu umeandika madini Sana
 
Hata kama chumba ni kimoja, ukiona MTU mzima anampiga Mkewe na huyo Mkewe akakubali kupigwa, ujue wote ni hamnazo.

Kama mnashindwa kutatua matatizo yenu Kwa Njia ya mazungumzo, ni Bora muachane kila MTU ashike hamsini zake.

Iwe ni chumbani au sebuleni au wapi, wanandoa hawapaswi kupigana,

Huyo Mwanaume akikosea atakubali kupigwa?
Hyo kauli ya kusisitiza Bora waachane ni potevu mno ,Haina faida yyte ,it's the easy way out .
Nimegrow up nikiona wazazi wangu kwa furaha na pia wamekosana Tena Sana in equal measure ,kuishi na mtu msieshare ukoo wala damu sio jambo rahisi.
Patience is key in marriage ,mshapata watoto Sasa mkiachana watoto je ? Mtawalea kila mtu kivyake , mlipofikia sioni kuachana kukileta any solution.
Shida ya watu wengi kwa ndoa mnaogopa kushare issues na watu .
Tafuteni couple wanaojielewa walioko kwa ndoa muda mrefu ,seek counselling .Hizo shida mnazoziona kubwa ,mtapata na mambo madogo kwa waliokomaa kwa ndoa .
Mbona kila ndoa inachangamoto nyingi tu ,wote hao unatuona ndani tungenena ungeshangaa , komaa kwa ndoa bro
 
Anakufarakanisha na mwanao ngoja siku waende nchi za nje uone hela kama watakuwa wanakurushia wewe. Alafu nenda kachungulie status siku ya wanawake Duniani utakuta wameandika MY MOM MY EVERYTHING huku wewe ndie ulitoa Ada na kumpeleka Ulaya
 
Mkuu umemaliza kila kitu
Be blessed Sana
 
Anakufarakanisha na mwanao ngoja siku waende nchi za nje uone hela kama watakuwa wanakurushia wewe. Alafu nenda kachungulie status siku ya wanawake Duniani utakuta wameandika MY MOM MY EVERYTHING huku wewe ndie ulitoa Ada na kumpeleka Ulaya
Mkuu Ilo ni kweri kabisa me natimiza majukumu yangu wasiponipenda watajua wenyew na mama yao
 
Habari zenu Wana Jf

Tumekuwa tuna ugomvi Mara kadhaa na wife me sio muongeaji Sana..nikionaga ugomvi ni mkubwa nakaa kimya au naondoka lkn Kama mmegombana usiku ujue uwezi kulala ataongea na kulaumu kila kitu.

Wife ana tabia mkigombana tu au ukampiga vibao viwili vitatu anakimbilia kuwakumbatia watoto huku analia....inabid nijishushe tu mbele ya watoto wasione mshua anazingua
Hapo watoto wanakuona dhaifu wewe.
 
Hyo kauli ya kusisitiza Bora waachane ni potevu mno ,Haina faida yyte ,it's the easy way out .
Nimegrow up nikiona wazazi wangu kwa furaha na pia wamekosana Tena Sana in equal measure ,kuishi na mtu msieshare ukoo wala damu sio jambo rahisi.
Patience is key in marriage ,mshapata watoto Sasa mkiachana watoto je ? Mtawalea kila mtu kivyake , mlipofikia sioni kuachana kukileta any solution.
Shida ya watu wengi kwa ndoa mnaogopa kushare issues na watu .
Tafuteni couple wanaojielewa walioko kwa ndoa muda mrefu ,seek counselling .Hizo shida mnazoziona kubwa ,mtapata na mambo madogo kwa waliokomaa kwa ndoa .
Mbona kila ndoa inachangamoto nyingi tu ,wote hao unatuona ndani tungenena ungeshangaa , komaa kwa ndoa bro

Tofautisha kugombana na kupigana.
Migigoyndani ya Ndoa Ipo lakini kitendo cha mapigano kutokea hapo ujue Wahusika hamnazo.

Kwa nini umpige mwenzio
 
Huyo mkeo mwehu tu Kama wewe,anavumiliaje kukaa na mme anayepiga!!! Unarahisisha kabisaa eti vibao viwili vitatu......nyoooooko weeee
Hata mimi nachukia sana hili jambo la mme kumpiga mke. Lakini ni vizuri ujue kuna jamii nyingine au niseme familia ambazo mabinti wake wanaamini na ku-enjoy kwenye kupigwa na waume zao. Trust me! Kuna wanawake wamekuzwa kwenye mazingira ya kuamini kuwa waume zao wasipowapiga basi ndoa hainogi au hawawapendi. Ukioa hawa kinamama kuna siku lazima watajitahidi kukufanyia maudhi ili uwapige majirani wasikie. Hili ni jambo la kisaikolojia zaidi. Kama sehemu za uswazi wapo sana. Wanataka tu jamii ijue kuwa fulani ndiye mumewe anayemmiliki. Halafu wanawake wa aina hii mara nyingi wanakuwa wachepukaji hivyo ili kutaka kupigwa ni kama kuondoa consicious guilty iliyopo mioyoni mwao.
 
Kwanini mpigane sababu gani haswa inapelekea kumpiga au kosa gani ambalo alizungumziki?
 
Siku ukitaka kumtandika, mfungie chumbani. Tandika mikanda ya ujazo. Pga hasa. Kisha unamwambia anyamaze.

Akiendelea kulia tandika tena, akinyamaza unamwacha.

Wakati wa kusuruhisha tangaza kwanza, siku akiyngua utapga mara tano yake.

Mimi nilitumia njia hii, alishaniheshim na ananiogopa pia.

Hata kitandan anakati na inaloa hasa. Kabla ya kpg alikuwa eti hajisikii au anakupa anachanua mapaja tu bila ushrikiano.
Ova.
 
Back
Top Bottom