Je Watu wameacha kumwogopa Kikwete? Wameamua tu waseme ukweli?

Wangemgalagaza kwa Tume ipi ??!!
 
Ni mnafiki. Aliogopa nguvu ya mwenzie. Mbona kama ufisadi yeye ndo kinara katika wote waliopita. Ni fisadi hasa.
 
Lipumba anapata wapi moral authority ya kuongelea wenzake?

Tulishakubaliana kumpuuza huyo leprofeseri.
 
Hakunaga mtu anayekubali kuumia kwaajili ya Chama, ni namna tu unavyopanga karata zako za maslahi, pia ikumbukwe watu huwa hawapeani tu madaraka, huwa yanatafutwa. Power is not given, Power is taken. Kama Ndugu Lowassa alikuwa anasubiri kupewa madaraka na kikwete kisa alimsaidia kunyakua u Rais basi hakuwa ameiva kwenye kuitafuta nafasi ya u Rais, na ndio maana wanasema kwenye siasa hakuna rafiki wala adui wa kudumu inategemea tu kwa wakati husika mwenzio ataamua akuweke kundi gani ili afanikishe maslahi yake.

Tunaweza kufikiri CHADEMA kwa wakati ule walikosea kumteua Lowassa kuwa mgombea badala ya Dr. Slaa ila pale ziliangaliwa namba na nani mwenye influence kwa wakati ule, namba nyingi ya kura inamaanisha maokoto ya ruzuku pia yanakuwa juu bila kujali umeshinda ama umeshindwa, namba alizokuwa nazo Lowassa kwa wakati ule inawezekana Dr. Slaa asingezileta hata nusu.
 
Ahsante mkuu!
Tatizo hizi mada zimevamiwa na hamnazo (vimbofwa) basi shida tupu; vyenyewe havijui chochote lkn viko haraka kuropoka kila sekunde sababu vina muda mwingi wa kufanya hivyo balaa wakati watu kama nyie mko wachache na hamuongei muda wote!
 
Low asante alitaka tu agombee urais
Na alijuwa hawezi toboa mbona
Cv tu alitaka awake [emoji1]

Ova
 
Dah, kama haya ndo maelezo ya msomi basi acha niendelee kubaki bila shule maana itakuwa haina maana yoyote. Samahani na asubuhi njema kiongozi, tuendelee kulijenga taifa letu kwa upendo.
 
Dah, kama haya ndo maelezo ya msomi basi acha niendelee kubaki bila shule maana itakuwa haina maana yoyote. Samahani na asubuhi njema kiongozi, tuendelee kulijenga taifa letu kwa upendo.
Ni muhimu upate shule. Angalau ujue kusoma na kuandika kwa lugha ya staha na pia uelewa wako ukue. Pamoja na kuwa inawezekana umekulia mazingira magumu but ukishakua unatakiwa ubadilike. Toka umeanza jifunza matusi umefanikiwa nini na nini?

Mimi nakushauri tu kama nikiwa ni Mwanaume na niliyekuzidi uelewa. Nyie mnadhani mkitumia maneno hayo mnapata credit flani. Mi sijui. Lakini sisi kwa wazazi wetu ilikuwa ni mwiko hata kumwambia mtu mjinga. Tunawaheshimu wote. Wanawake tunawaheshimu na ndo maana nilikusemesha kwa upendo tu. Mwenzio nipo Nje ya nchi sasa nazunguka kulipigania Taifa. Shauri yako.
 
πŸ™πŸ™πŸ™
Ila nipo mimi tu mkuu, sina ushirika hivyo usiwafikirie na wengine.

Huko nje ulikopata fursa ya kwenda basi jifunze upendo na kuwa mbali na chuki, fitna, wivu na uzushi itakuepushia kutenda dhanbi ya kuwahukumu watu na kuwashushia heshma zao bila kuwa na yanking. Ukivikosa hivyo basi you are not different, you are just more of the same.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…