mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Hivi wale friends of lowasa wako wapi?Prof Lipumba
Wako kweli
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi wale friends of lowasa wako wapi?Prof Lipumba
Wapo utawaona 2025 akina Bashe nk 😂Hivi wale friends of lowasa wako wapi?
Wako kweli
Ova
🙏🏽🙏🏽Thridi klozdi...!!Una akili Sana Ty.
Mwanzo walitamba kuwa Jk hawezi kuzuia MafurikoHizo ndizo siasa. Maslahi ya nchi kwanza urafiki baadae. Kikwete alijua na alimjua Lowassa kuliko wewe ulieko MTAANI au kijijini. Miaka miwili tu! Akampa Rostam mkataba wa Richmond yakapigwa mabilioni ya fedha za wananchi! Haiitaji akili kujua nani alihusika kwani Rais alimuamini Waziri wake mkuu na rafiki yake.
Ndio...watu wa Pwani tunasemeaga rohoni..." Neng'eneka tu, tuone mwisho wako!'"Wala hatukunji ndita au kushika panga.Unawekwa akiba na unakuwa labeled kuwa si wa kuaminika.
Akaachwa atambe,akatumia fedha nyingi kuweka wajumbe wa NEC kila mkoa, fedha zilimwagwa waziwazi kwa wajumbe,wakaimba na kulitukuza jina lake. Akapata kiburi na akajua kuwa kamaliza hakuna wa kumzuia. Akatamka waziwazi kuwa mkataba wa Richmond yalikuwa ni maagizo ya bosi wake (Rais). Tena hadharani. Lowassa akasahau kuwa yeye ndiye aliyempa hiyo kampuni ambayo mwanzo yeye alisema aliwaamini wa chini yake wakamuangusha.
Akaona kashika makali akasahau kuwa alikuwa ameshika mpini. Kili chotokea ndio hicho kinaitwa unafiki
Wacha upumbavu mleta mada, Lowasa ni mjinga kiasi gani akubali kuumia Kwa ajili ya chama chake? Kwani CCM ni mama yake? Tusidanganye.Wengi wanasema Lowassa alisalitiwa na rafiki yake. Alikipigania Chama kikamtosa. Alikubali kuumia sababu ya Chama.
Tofauti ya Kikwete na Magufuli.
Kikwete alikuwa anakuchukia huku anacheka nawe. Ni aina ya watu wanafiki, wachawi na wakuda sana. Ukimsoma sana au ukiuliza sana habari zake unaweza kuja kuta hata huko nyuma alishawahi wadhuru au taka wadhuru watu kwa namna hii ya tabia.
Magufuli. Alikuwa anakuchukia na anakuonesha anakuchukia. Huyu ni mtu mzuri maana unajua how to deal with him. Kuwa akienda mashariki we unaenda zako magharibi. Msijuane, msifuatane. Mimi napenda mtu anayejiamini katika hisia zake. Anasema anachofikiria kibaya au kizuri.
Msikilize Prof. Lipumba kaamua kufunguka.
View attachment 2904015
Jamaa alikuwa amehonga hadi makanisani, kuna wakati kwa jeuri na alikuwa na jeuri kweli kuwa wasiompenda kwenye chama waondoke wao, akajidanganya na akina Kingunge, Tibaijuka, Musukuma, Bashe, Malasusa wakati ule alidhani Mr Kutabasamu hatamuweza na kweli Mr Kutabasamu alimshindwa Mr Mamvi kwa bahati mbaya sana Mr Mamvi alimsahau Mzee wa Lupaso, kwa wakati ule Mzee wa Lupaso ndie alikuwa Nyerere, na Mzee Lupaso alikuwa na ugwadu nae kuanzia uchaguzi wa kwanza ambapo ndio timu ''wanamtandao''iliundwa ili kumshida Lupaso, Lupaso akaja okolewa na mzee wa Butiama, bila mzee wa Butiama sijui ingekuwaje kwani lile agano la hao marafiki na baadae maadui sijui lingekuwaje.Hizo ndizo siasa. Maslahi ya nchi kwanza urafiki baadae. Kikwete alijua na alimjua Lowassa kuliko wewe ulieko MTAANI au kijijini. Miaka miwili tu! Akampa Rostam mkataba wa Richmond yakapigwa mabilioni ya fedha za wananchi! Haiitaji akili kujua nani alihusika kwani Rais alimuamini Waziri wake mkuu na rafiki yake.
Ndio...watu wa Pwani tunasemeaga rohoni..." Neng'eneka tu, tuone mwisho wako!'"Wala hatukunji ndita au kushika panga.Unawekwa akiba na unakuwa labeled kuwa si wa kuaminika.
Akaachwa atambe,akatumia fedha nyingi kuweka wajumbe wa NEC kila mkoa, fedha zilimwagwa waziwazi kwa wajumbe,wakaimba na kulitukuza jina lake. Akapata kiburi na akajua kuwa kamaliza hakuna wa kumzuia. Akatamka waziwazi kuwa mkataba wa Richmond yalikuwa ni maagizo ya bosi wake (Rais). Tena hadharani. Lowassa akasahau kuwa yeye ndiye aliyempa hiyo kampuni ambayo mwanzo yeye alisema aliwaamini wa chini yake wakamuangusha.
Akaona kashika makali akasahau kuwa alikuwa ameshika mpini. Kili chotokea ndio hicho kinaitwa unafiki
HUo ndio ukweli ya nini kujitia pressure kwa mambo ya watu kama sio umbea na kupoteza muda, wao na familia zao wameneemeka wewe huku kutwa umbea tu ambao haukusaidii kituMambo ya siasa siyo ya kuyaingilia ....wananeemeka sana hao.Watajuana wenyewe
Huyu naye mbona aliwasaliti wenzake UKAWA akaenda kula bata Rwanda na dogo mmoja anadhani watu wanasahauWengi wanasema Lowassa alisalitiwa na rafiki yake. Alikipigania Chama kikamtosa. Alikubali kuumia sababu ya Chama.
Tofauti ya Kikwete na Magufuli.
Kikwete alikuwa anakuchukia huku anacheka nawe. Ni aina ya watu wanafiki, wachawi na wakuda sana. Ukimsoma sana au ukiuliza sana habari zake unaweza kuja kuta hata huko nyuma alishawahi wadhuru au taka wadhuru watu kwa namna hii ya tabia.
Magufuli. Alikuwa anakuchukia na anakuonesha anakuchukia. Huyu ni mtu mzuri maana unajua how to deal with him. Kuwa akienda mashariki we unaenda zako magharibi. Msijuane, msifuatane. Mimi napenda mtu anayejiamini katika hisia zake. Anasema anachofikiria kibaya au kizuri.
Msikilize Prof. Lipumba kaamua kufunguka.
View attachment 2904015
All in all Tibaijuka alishasema ni ngumu kumtangaza mshindi asiyetakiwa na mfumo, yule ambaye angetajwa kugombea na chama chetu basi iwe isiwe hata kwa bunduki angeshindishwa ndiyo tafsiri ya goli la mkonoKimsingi waliommaliza Lowasa kisiasa ni CHADEMA. Hii ni kabla Lowasa hajahamia CHADEMA. CHADEMA walikuwa wame mchafua sana sana Lowasa. Kiasi kwamba kwenda na Lowasa kwenye Uchaguzi ilikuwa ni ngumu sana. Maana Dr. Slaa ange mgalaza sana na kwa jinsi walivyokiwa wameaminisha umma kuwa Lowasa ni fisadi, CCM wangepata wakati mgumu sana kumsafisha.
Hivyo Kikwete alikuwa hana jinsi..Alitakiwa achagua kati ya..kumkumbatia rafiki yake, au kukibeba chama. Mengine ni siasa.
Africa maana ya siasa ni fitna fitna na uongo unaofanana na fanana na ukweli !Wanasiasa ndio wanaoichafua siasa ili kufikia malengo yao.
Ila siasa inapaswa kuwa mchezo msafi tu.
You nailed it !All in all Tibaijuka alishasema ni ngumu kumtangaza mshindi asiyetakiwa na mfumo, yule ambaye angetajwa kugombea na chama chetu basi iwe isiwe hata kwa bunduki angeshindishwa ndiyo tafsiri ya goli la mkono
+ King maker !Wapo utawaona 2025 akina Bashe nk 😂
Inasikitisha sanaHUo ndio ukweli ya nini kujitia pressure kwa mambo ya watu kama sio umbea na kupoteza muda, wao na familia zao wameneemeka wewe huku kutwa umbea tu ambao haukusaidii kitu
Sawa bado Magufuli anakuwa ni SHETANI kwa vile mbali ya kukuchukia ANAKUUA au anakutupa jela.Wengi wanasema Lowassa alisalitiwa na rafiki yake. Alikipigania Chama kikamtosa. Alikubali kuumia sababu ya Chama.
Tofauti ya Kikwete na Magufuli.
Kikwete alikuwa anakuchukia huku anacheka nawe. Ni aina ya watu wanafiki, wachawi na wakuda sana. Ukimsoma sana au ukiuliza sana habari zake unaweza kuja kuta hata huko nyuma alishawahi wadhuru au taka wadhuru watu kwa namna hii ya tabia.
Magufuli. Alikuwa anakuchukia na anakuonesha anakuchukia. Huyu ni mtu mzuri maana unajua how to deal with him. Kuwa akienda mashariki we unaenda zako magharibi. Msijuane, msifuatane. Mimi napenda mtu anayejiamini katika hisia zake. Anasema anachofikiria kibaya au kizuri.
Msikilize Prof. Lipumba kaamua kufunguka.
View attachment 2904015
Mwangosi, Dr. Ulimboka et al.Sawa bado Magufuli anakuwa ni SHETANI kwa vile mbali ya kukuchukia ANAKUUA au anakutupa jela.
Usimfananishe Kikwete na SHETANI