Je, wazee wa Simba nao walikuja kufanya mazoezi?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Kwa kweli Mimi ni mwanasimba kindaki ndaki lakini nimesikitishwa na timu yangu kuja usiku wa manane kuja kufanya mazoezi ya mwisho huku ikaza busi la wazee ( vigagua) idadi inayozidi wachezaji

Swali ni Je !! Uongozi wa Simba ulileta wachezaji wafanye mazoezi.....au ulileta waganga wafanye mazoezi!????

Technically
Simba wamechungulia mechi ...wamekutana na kichapo.. ....makolo wakaona ..Chakufia nini ngoja nikimbie mtani
1741193886412.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kwa kweli Mimi ni mwanasimba kindaki ndaki lakini nimesikitishwa na timu yangu kuja usiku wa manane kuja kufanya mazoezi ya mwisho huku ikaza busi la wazee ( vigagua) idadi inayozidi wachezaji

Swali ni Je !! Uongozi wa Simba ulileta wachezaji wafanye mazoezi.....au ulileta waganga wafanye mazoezi!????

Technically
Simba wamechungulia mechi ...wamekutana na kichapo.. ....makolo wakaona ..Chakufia nini ngoja nikimbie mtaniView attachment 3263150

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Sent from TECNO KG5j
 
Hawa TFF na AFC na Fifa wasipo kemea ujinga huu wa kishirikina mpira Afrika utaendelea kupata taabu.
Hili si Simba tu ni timu zote zinajihusisha na ushirikina.
 
Hivi mpira ungekuwa ni uchawi, basi Nigeria si wangeshinda World Cup. Mbona mna-kuwa na akili ndogo hivyo.
Ifike mahali tubadilike na tuanze kuamini kwenye vitu vya msingi kama Good Training Facility, Good Coaching Team, Good Playing Ground, Good Football Management Structure, Good Investment in Youth Soccer, Good Players Wages, Good Players Accomodation and so on. Hapo kwa nini usiwe Champion, ili uwe bingwa inahitaji Investments katika kila field ya mpira wa miguu ndipo mafanikio yalipo na sio uchawi.​
 
Sahihi mkuu...ni aibu ...kutegemea ndumba ilihali tunajua kua mpira ni science

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Hivi mpira ungekuwa ni uchawi, basi Nigeria si wangeshinda World Cup. Mbona mna-kuwa na akili ndogo hivyo.
Ifike mahali tubadilike na tuanze kuamini kwenye vitu vya msingi kama Good Training Facility, Good Coaching Team, Good Playing Ground, Good Football Management Structure, Good Investment in Youth Soccer, Good Players Wages, Good Players Accomodation and so on. Hapo kwa nini usiwe Champion, ili uwe bingwa inahitaji Investments katika kila field ya mpira wa miguu ndipo mafanikio yalipo na sio uchawi.​
Sahihi mkuu... wa Africa tuna safari ndefu

Back
Top Bottom