Je, wazee wa Simba nao walikuja kufanya mazoezi?

Hii waonyeshe watoto wenzio punguza utoto. Yanga mumeyakanyaga safari hii. Hakuna point za mezani msipoleta timu imekula kwenu. Aliyewatuma mabaunsa kwenda kuifanyia Simba fujo ameikosea pakubwa Yanga.
Je mabaunsa watatu ndo waliistopisha timu nzima ....+ Na wazee wafupi

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
simba na tiefuefu wanaongozwa na hisia bila logic.. ndo maana wamefanya maamuzi ambayo hayana muendelezo wake mpaka sasa hivi ni kama wamestack hawajui warudie mechi au wagawe point au wampige mtu faini [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kabisa mkuu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Mazee mazee yote yaliyopo kwenye vilabu vya mpira wa miguu ni ya kutimuliwa, yanaedekeza imani za kishirika kama ajira zao vilabuni. Wakacheze bao na kunywa kahawa vijiweni hawana kazi za kufanya kilabuni zaidi ya ushirikina. Kwani wanaajiri? Wanasajili? Wanakuza vipaji? Fukuza wazee wote vilabuni hawana kazi za kufanya ni wanga, wachawi na vigagula, wanadumaza maendeleo ya soka
 
Inakera sana hii

Back
Top Bottom