Sent from TECNO KG5jKwa kweli Mimi ni mwanasimba kindaki ndaki lakini nimesikitishwa na timu yangu kuja usiku wa manane kuja kufanya mazoezi ya mwisho huku ikaza busi la wazee ( vigagua) idadi inayozidi wachezaji
Swali ni Je !! Uongozi wa Simba ulileta wachezaji wafanye mazoezi.....au ulileta waganga wafanye mazoezi!????
Technically
Simba wamechungulia mechi ...wamekutana na kichapo.. ....makolo wakaona ..Chakufia nini ngoja nikimbie mtaniView attachment 3263150
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Timu imeleta bus la wachezaji.....basi lingine limejaa wazee ....mbuzi na kuku.....vyanin vyote hivyoHakuna Mwana Simba kama wewe wewe ni Yanga tena Pashkuna na kama hauna Picha
Kabisa mkuu... Simba wamefanya kitendo chaaibuUtopolo wenye akili ni wawili tu
Kwaajili ya iftarTimu imeleta bus la wachezaji.....basi lingine limejaa wazee ....mbuzi na kuku.....vyanin vyote hivyo
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kabisa mkuu..... kikubwa tuende uwanjani....mambo mengine yataendelea Kwa uongoziMimi ni shabiki wa Simba, ila siungo mkono wazo la kususia mechi. Hii ni dalili ya wazi kabisa ya uoga uliopitiliza.
Sahihi mkuu...ni aibu ...kutegemea ndumba ilihali tunajua kua mpira ni scienceHawa TFF na AFC na Fifa wasipo kemea ujinga huu wa kishirikina mpira Afrika utaendelea kupata taabu.
Hili si Simba tu ni timu zote zinajihusisha na ushirikina.
Sahihi mkuu... wa Africa tuna safari ndefuHivi mpira ungekuwa ni uchawi, basi Nigeria si wangeshinda World Cup. Mbona mna-kuwa na akili ndogo hivyo.
Ifike mahali tubadilike na tuanze kuamini kwenye vitu vya msingi kama Good Training Facility, Good Coaching Team, Good Playing Ground, Good Football Management Structure, Good Investment in Youth Soccer, Good Players Wages, Good Players Accomodation and so on. Hapo kwa nini usiwe Champion, ili uwe bingwa inahitaji Investments katika kila field ya mpira wa miguu ndipo mafanikio yalipo na sio uchawi.
Mzee magoma moto mshamtoa kwenye list? Kama nakumbuka mlimuongeza tukawa na watatuUtopolo wenye akili ni wawili tu
Mokolo wote ni mbumbumbuUtopolo wenye akili ni wawili tu
Yaaah mkuu...m ni kiongozi kabisa.Mwanasimba wewe??