Je, wazee wa Simba nao walikuja kufanya mazoezi?

Mm pia ni Simba kindaki ndaki.
Na sijapendezwa na timu kususia mechi.

Ndio wamegomewa kuingia uwanjani.
Ila ule uwanja wameshacheza mechi nying.

Wanaumudu. Hiyo kutofanya mazoez kwenye ule uwanja siku 1 kabla ya mechi husik hakuwez ondoa fitness kwa wachezaji.
 
Kuangalia Vijana wao wakifanya mazoezi. Hatutaki maswali ya kipuuzi! Kwani huko kwenu mnaogopa wazee na mbuzi?
 
Wewe ni Falasi sana ila tu umekutana na UBAYA UBWELA
 
Bila picha au video ya hilo basi la lililobeba hao wazee , hiki ulichokiandika hapa ni upuuzi tu kama ulivyo upuuzi mwingine
 
huku ikaza busi la wazee ( vigagua) idadi inayozidi wachezaji
Tulia uandike vizuri na usisahau kuambatanisha na picha za vigagua ili tuamini kuwa umeshahama kwa shemejio sasa upo kwa shamba la Haji as a shamba boy
 
Yap
 
Mimi ni shabiki wa Simba, ila siungo mkono wazo la kususia mechi. Hii ni dalili ya wazi kabisa ya uoga uliopitiliza.
T/MKUU, mimi ni YANGA, sijapendezwa na kitendo cha kuzuia wachezaji wenu wasipige tizi kwa dhahania za kufanyika vitendo vya kishirikina 🚮
 
Ilikuwa ni jambo la aibu Kwa makolo

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…