Je, wazee wa Simba nao walikuja kufanya mazoezi?

Walikuja kupiga sarakasi
 
Weka ushahidi wa hao wazee kuwepo kwenye basi, vinginevyo wacha utoto.
 
Tatizo ni kufanyiwa fujo na makomandoo wa Yanga, wakiachiwa watazoea kuifanyia Simba fujo na kujiona wao hawagusiki, lazima kuonyeshana ukubwa Simba siyo ya kuchezewa chezewa na wahuni wavuta bangi.
 
Ushahidi wa picha tafadhari
 
simba na tiefuefu wanaongozwa na hisia bila logic.. ndo maana wamefanya maamuzi ambayo hayana muendelezo wake mpaka sasa hivi ni kama wamestack hawajui warudie mechi au wagawe point au wampige mtu faini [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…