Je, Waziri Nchemba ni 'Hirizi' ya Awamu ya Rais Samia na kwamba ikitupwa Serikali haitoongoza vyema Tanzania?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Labda Siku atakayomjibu hovyo Boss wake ambayo naiona haiko mbali ndipo ataondolewa katika Wizara aliyoko ili Watanzania tupumzike na Dharau zake, Kiburi chake na Ushamba wake.
 
Rasimu ya Warioba ilikuwa na kipengele mahsusi kwa wawakilishi kama huyu.

Kwa mwenendo wake huyu anamwakilisha nani zaidi ya kuwa ni karani wa Mama tu?
 
Hakuna jambo linaudhi kama kufundisha / kuwaeleza jambo wanafunzi wasio na utambuzi wa uelewa, hakika utaishia kuwatukana tu.
Binafsi namuelewa sana Dr. Mwigulu.
 
Yah!
JamiiForums-1372746095.jpg
 
Ajuza amedanganyika na u_dokta uchwara wake wa uchumi. Kumbe ni product ya Jalalani University. Kichwani kumejaa kamasi tu.
 
Back
Top Bottom