Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,419
Kuna rumours za wanamitandao na wanaharakati wanaodai kuwa Mohamed Mchengerwa aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Utawala Bora ni mkwe wa Rais, ameoa binti yake ambaye ni Mbunge viti maalum kutoka Zanzibar. Pia Mohamed inadaiwa kuwa ni Msimamizi Mkuu wa utendaji wa TISS.
Tumekuwa tukiwaandama marais waliopita kuwa wanateua ndugu zao, je na rais wetu anapita mulemule?
Binafsi sina shaka na uteuzi wake kutokana na CV yake. Pamoja na vigezo vingine, mtu huteuliwa kutokana na CV yake.