Je, Waziri wa Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa ni mkwe wa Rais Samia?

Je, Waziri wa Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa ni mkwe wa Rais Samia?

Hata ingekuwa ni Hawara yake ( kwa Mfano ) kama Kiutendaji ni Mtu angemteua wala nisingehoji kwani naangalia Kazi na si mengineyo. Huwezi Kumfurahisha kila Mswahili ( Mtanzania ) hasa ukiwa ni Rais ( Kiongozi ) nchini Tanzania.

Mlivyo Wanafiki mbona hamhoji Marais wenu waliopita ambao kuanzia Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete nao pia hawakuteua tu Wakwe zao bali walienda mbali zaidi na Kuteua Ndugu zao, Watoto wao wa Nje, Mashemeji na hasa hasa Mahawara zao wengi tu?

Tuhoji tu Mambo yenye Tija Kiutendaji.
Bora kulindwa na mwanao, utakuwa unauhakika zaidi wa usalama wako
 
Bora mama ameteua mkwe lakini tunaona mteuliwa anasifa zote zakukalia nafasi,Hayati alizidi jamani yaani ka mwalimu hakajui hata madini kanakuwa ka Waziri kweli?
 
Kuna rumours za wanamitandao na wanaharakati wanaodai kuwa Mohamed Mchengerwa aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Utawala Bora ni mkwe wa Rais, ameoa binti yake ambaye ni Mbunge viti maalum kutoka Zanzibar. Pia Mohamed inadaiwa kuwa ni Msimamizi Mkuu wa utendaji wa TISS.

Tumekuwa tukiwaandama marais waliopita kuwa wanateua ndugu zao, je na rais wetu anapita mulemule?

Binafsi sina shaka na uteuzi wake kutokana na CV yake. Pamoja na vigezo vingine, mtu huteuliwa kutokana na CV yake.
View attachment 1740159

Kama ana sifa za kazi hiyo, shida iko wapi?
 
Back
Top Bottom