Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Daaa mwanangu nilifika pale nikaweka kambi nikatoka hapo nikaenda upande wa pili kuna Ngarambi.Bado ipo inpitika vizuri tu siku hizi kuna noah zinatoka Ngarambe-Utete.[emoji23][emoji23]Mzee baba kumbe ulifika mpaka kule Kingupira selou!
Nikaweka kambi na kutoka hapo nikapiga hadi kandawale hadi Njinjo.