Chosen man
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 543
- 755
Ila alikuwa halipwi mshahara na serikaliMbona hii ipo hata majuu?Donald Trump alimteua Jared Kushner,mkwe wake kuwa''Senior Advisor To The President Of The United States''
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila alikuwa halipwi mshahara na serikaliMbona hii ipo hata majuu?Donald Trump alimteua Jared Kushner,mkwe wake kuwa''Senior Advisor To The President Of The United States''
Mmawia tangu tumetoka Chato a/c yako wamei-hark sio wewe km yule mwenye a/c hiiHata kama ungekuwa ni wewe una mwanao ana vigezo vinavyotakiwa na kuna kazi utashindwa kumwajiri?
Mkuu kuna vitu vingine vipo wazi sana,haiwezekani nina nafasi ya kazi na mtu wangu wa karibu ana vigezo nishindwe kumsaidia.Mmawia tangu tumetoka Chato a/c yako wamei-hark sio wewe km yule mwenye a/c hii
yaani unatoa madini ya uhakika na kwa utulivu, kumbe Udikteta ulikuuma sana.
Huyu Mama naona hana upendelea km mtu wa Rufiji kamuolea Bintiye sasa hiv huko Kaskazini mtatembelewa, km angekuwa na wa kike (maana wameisha) mngembeba
Bravoooo Mmawia
Hivi mama kamuwachia aendelee kukamua?Tuwekeeni CV ya Doto hapa , jamaa hajawahi hata kuwa class monitor akaja kuwa Katibu Mkuu hazina na mlipaji mkuu wa serikali, nchi hii inakwenda kasi sana
Upo sahihi kabisakizuri kula na nduguyo.....tunataka matokeo bora....hata akimuweka mme wake......
Aisee kile kipande kina maudhi sana hasa kipindi cha mvua.@MCHENGERWA fanya mpango basi kile kipande cha Nyamwage-Utete kiwekwe lami.
#NchiYaUlaji
Primary kasoma miaka 8Kuna rumours za wanamitandao na wanaharakati wanaodai kuwa Mohamed Mchengerwa aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Utawala Bora ni mkwe wa Rais, ameoa binti yake ambaye ni Mbunge viti maalum kutoka Zanzibar. Pia Mohamed inadaiwa kuwa ni Msimamizi Mkuu wa utendaji wa TISS.
Tumekuwa tukiwaandama marais waliopita kuwa wanateua ndugu zao, je na rais wetu anapita mulemule?
Binafsi sina shaka na uteuzi wake kutokana na CV yake. Pamoja na vigezo vingine, mtu huteuliwa kutokana na CV yake.
View attachment 1740159
Duuuuu umenikumbusha hilo neeno KWEERIIII KWEEEERIIIIIKila mtu afe kivyake.
Hakikisha na wewe unachukua kitambulisho cha machinga ili uchape kazi kweriiii kweriiii.
Serikali haiwezi kuajiri kila mtu.
Kwa hapa Tanganyika kipo hicho hichoPrimary kasoma miaka 8
olevel kasoma miaka 3
huko kwenye ajira ndio haieleweki eleweki kabisa!
btw hicho chuo KIU ndiyo hicho cha gongo la mboto?
Kweli kabisa.Aisee kile kipande kina maudhi sana hasa kipindi cha mvua.
Ndiyo maana Tokyo Takala ameendelea kutawala hiyo njia.
Vipi ile barabara ya kutokea utete kwenda Ngarambe pale karibu na camp ya hifadhi bado inapitika?Kweli kabisa.
Hii ni nepotism na haitakiwi kwenye utumishi wa umma
Yaani ukiwa kiongozi wa umma kkimaadili na kuondokana na mgongano wa kimaslai haitakiwi kumpa kazi ndugu yako hata Kama anasifa na vigezo
PhD candidate? When did he qualify?Kuna rumours za wanamitandao na wanaharakati wanaodai kuwa Mohamed Mchengerwa aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Utawala Bora ni mkwe wa Rais, ameoa binti yake ambaye ni Mbunge viti maalum kutoka Zanzibar. Pia Mohamed inadaiwa kuwa ni Msimamizi Mkuu wa utendaji wa TISS.
Tumekuwa tukiwaandama marais waliopita kuwa wanateua ndugu zao, je na rais wetu anapita mulemule?
Binafsi sina shaka na uteuzi wake kutokana na CV yake. Pamoja na vigezo vingine, mtu huteuliwa kutokana na CV yake.
View attachment 1740159
Bado ipo inapitika vizuri tu siku hizi kuna noah zinatoka Ngarambe-Utete.[emoji23][emoji23]Mzee baba kumbe ulifika mpaka kule Kingupira selou!Vipi ile barabara ya kutokea utete kwenda Ngarambe pale karibu na camp ya hifadhi bado inapitika?